Yeah! hopefully Kyrie will be available, he is a very crucial member of the team, otherwise it's over for King LJ and the CAVS.
Stephen Curry becomes the 1st MVP winner to win Game 1 of the NBA Finals at home since Tim Duncan in 2003
You better be ready for the upset,
Mziki wa game 2 mtachoka wenyewe!
You better be ready for the upset,
Mziki wa game 2 mtachoka wenyewe!
Inanikumbusha ile game 2 kati ya Warriors na Rockets. It could have gone either way but once the bearded one fumbled, I knew the series was over. Uzuri wa Warriors ni rekodi yao kwenye away matches. Pamoja na kwamba wanafanya vizuri zaidi kwenye home ground lakini hata ugenini you never count them out. Pelicans, Grizzlies na Rockets hawatasahau Warriors walivyowaadhiri nyumbani kwao mbele ya mashabiki wao.Lebron can never do it all alone.. AD and The Beard didn't as well..
Mtu mmoja anafunga nusu ya magoli ya timu unategemea kitu gani?? Alafu hii game Cavs wenyewe wameshindwa kuimaliza, ilikuwa game mbaya sana kwa GSW.
Inanikumbusha ile game 2 kati ya Warriors na Rockets. It could have gone either way but once the bearded one fumbled, I knew the series was over. Uzuri wa Warriors ni rekodi yao kwenye away matches. Pamoja na kwamba wanafanya vizuri zaidi kwenye home ground lakini hata ugenini you never count them out. Pelicans, Grizzlies na Rockets hawatasahau Warriors walivyowaadhiri nyumbani kwao mbele ya mashabiki wao.
Hilo moja lakini la pili ni kwamba the Warriors wanazo pia rekodi za "comeback" Ni game nyingi wameanza na deficit after 1st guarter, 2nd quarter na wakati mwingine hata 3rd quarter lakini wakaibuka na ushindi. Kuna game walianza 4th quarter wakiwa yuma kwa pointi 20 lakini at the end wakashinda. Hao vijana hawakati tamaa.
Katika game ya jana kuna wakati Cavs waliongoza kwa pointi 12 but Warriors caught up with their top stars Curry, Klay na Bogut on the bench. Vijana ni wepesi na wakianza kucheza kwa kasi mara nyingi wapinzani wao hubaki tu wameduwaa. Samahani I am a diehard fan wa Warriors hence my contribution might sound a bit skewed, LOL!
Go Warriors go!
NBA on ESPN
THIS JUST IN on SportsCenter: Kyrie Irving has a fractured left kneecap and will have season-ending surgery. Irving's injury will keep him out for 3-4 months.
JR Smith need to improve his game in Game 2. Cavs wamedisappoint sana OT, they only scored 2. Sasa Irving ndo hivyo tena majanga, naanza kuona Game 2 itavyokuwa ngumu kwa Cavs.
Dah!....A big disappointment for Kyrie and the CAVS.