Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
dell curry is living his dreams through his son...
kuna wakati inafanya kazi sana,kwanza wanapunguza points,pili wanawafrustrate na kuwasababishia kupata tech,
Hakika, ila ni mbinu makocha wanaiponda lakini bado inatumika.
NBA superstar Stephen Curry, left, and Tanzania-born NBA player Hasheem Thabeet, right, join young basketball players in Dar es Salaam, Tanzania, August 1, 2013. Curry, of the Golden State Warriors, delivered anti-malaria bed nets to participants in a Tanzania Basketball Federation clinic as part of his work as a Champion for the United Nations Foundation's Nothing But Nets campaign, in partnership with the NBA. (Insider Images/Stuart Ramson for UN Foundation)
Alafu hawa pia waliingia wote NBA 2009.. Hasheem akiwa namba 2 Curry alishika 5. Cha kushangaza leo Hasheem ashapotea, hapa najifunza mafanikio sio kujituma pekee bali hata baraka za jamii inayokuzungua na dunia kwa ujumla. Kama Steph anachangia 3 nets for every 3 Points he is shooting kwanini asiendelee kufunga hizo 3 points..
Mkuu NkyaH hata mimi ya Stephen Curry kuja Tanzania ni news kwangu si ajabu wenyeji wake walikuwa hawamjui vizuri au ziara yake haikutangazwa kama ilivyostahili. Vinginevyo ziara yake ingetangazwa na vyombo vya habari vingi nchini tungeisikia tu.
Nyarugusu huko dhahabu kede kede, ni aje mbona umebadili ID? Ushamtusi mtu?