Nadhani OKC keshakubali. Westbrook keshatibua mchezo...Hii vuta nikuvute mpaka dakika ya mwisho leo kati ya SAS na OKC.
Nadhani OKC keshakubali. Westbrook keshatibua mchezo...
Mimi huwa nachangamsha tu jukwaa Mkuu...napenda tu kuwapa watu vijembe. Portland leo wanatungua tatu tatu utadhani vichaa!!
Mimi huwa nachangamsha tu jukwaa Mkuu...napenda tu kuwapa watu vijembe. Portland leo wanatungua tatu tatu utadhani vichaa!!
Ndio mpango wenyewe, kama Warriors wangeshinda leo Curry angeendelea kukaa benchi lakini kwa hali lilivyo sasa itabidi acheze.Nimekuelewa Mkuu mie shabiki tu lakini pamoja na kuwa shabiki na kujua ubora wa hawa GSW napenda kuona wanatikiswa sio wanachukua kirahisi rahisi tu na nilitamani LA Clippers ndiyo wangeingia badala PB kwa maoni yangu Clippers wangewapeleka puta zaidi kuliko hawa lakini majeruhi ndiyo yakakata kiu chao. Kwa matokeo haya ya leo sidhani ka Steph Curry mchezo ujao atakaa bench maana 2-2 japo mchezo mwingine utakuwa ni home court kwa GSW lakini huwezi jua a mistake here a mistake there then ghafla tu PB wanaongoza series 3-2.
Nimekuelewa Mkuu mie shabiki tu lakini pamoja na kuwa shabiki na kujua ubora wa hawa GSW napenda kuona wanatikiswa sio wanachukua kirahisi rahisi tu na nilitamani LA Clippers ndiyo wangeingia badala PB kwa maoni yangu Clippers wangewapeleka puta zaidi kuliko hawa lakini majeruhi ndiyo yakakata kiu chao. Kwa matokeo haya ya leo sidhani kama Steph Curry mchezo ujao atakaa bench maana 2-2 japo mchezo mwingine utakuwa ni home court kwa GSW lakini huwezi jua a mistake here a mistake there then ghafla tu PB wanaongoza series 3-2.
Against the same team that plays no defense.. Hongereni sana, na leo pigine zingine 25 tu@mags3 umeona rekodi ya Cavs? 20+ 3 pointers katika games 3 mfululizo. #NBARecord
Kumbe! Chicken Curry na GSW walifunga ngapi kwani?Against the same team that plays no defense.. Hongereni sana, na leo pigine zingine 25 tu
I thought your the one hutaki tuongelee historia.. Aren't u?? teh teh teh tehKumbe! Chicken Curry na GSW walifunga ngapi kwani?
Anyway, Cavs ndiyo season leaders katika 3 pointers percentage. Hivyo hawabahatishi.I thought your the one hutaki tuongelee historia.. Aren't u?? teh teh teh teh
Sisi hatukuwapiga 20+ 3's ila tuliwapiga nyinyi na wao both 2-0 on regular season teh teh
Sasa pamoja na kuongoza kwanini mnaisingizia GSW kwamba wanachofanya ni kushoot 3's tu... teh teh tehAnyway, Cavs ndiyo season leaders katika 3 pointers percentage. Hivyo hawabahatishi.
The King can't make a layup on clutch time teh teh teh5Very close game, ATL leads 97 to Cav's 96 with 1.34 tp go.
The King can't make a layup on clutch time teh teh teh