NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Westbrook ni mchezaji mzuri lakini mara nyingi yuko very selfish na hivyo kusababisha unnecessary turnovers ambazo leo hii zimeicost timu yake ushindi muhimu sana.

Nadhani OKC keshakubali. Westbrook keshatibua mchezo...
 
I wish the results few days ago were not in your favour. Usikasirike Mkuu Mag 🙂🙂
Mimi huwa nachangamsha tu jukwaa Mkuu...napenda tu kuwapa watu vijembe. Portland leo wanatungua tatu tatu utadhani vichaa!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimekuelewa Mkuu mie shabiki tu lakini pamoja na kuwa shabiki na kujua ubora wa hawa GSW napenda kuona wanatikiswa sio wanachukua kirahisi rahisi tu na nilitamani LA Clippers ndiyo wangeingia badala PB kwa maoni yangu Clippers wangewapeleka puta zaidi kuliko hawa lakini majeruhi ndiyo yakakata kiu chao. Kwa matokeo haya ya leo sidhani kama Steph Curry mchezo ujao atakaa bench maana 2-2 japo mchezo mwingine utakuwa ni home court kwa GSW lakini huwezi jua a mistake here a mistake there then ghafla tu PB wanaongoza series 3-2.

Mimi huwa nachangamsha tu jukwaa Mkuu...napenda tu kuwapa watu vijembe. Portland leo wanatungua tatu tatu utadhani vichaa!!
 
Nimekuelewa Mkuu mie shabiki tu lakini pamoja na kuwa shabiki na kujua ubora wa hawa GSW napenda kuona wanatikiswa sio wanachukua kirahisi rahisi tu na nilitamani LA Clippers ndiyo wangeingia badala PB kwa maoni yangu Clippers wangewapeleka puta zaidi kuliko hawa lakini majeruhi ndiyo yakakata kiu chao. Kwa matokeo haya ya leo sidhani ka Steph Curry mchezo ujao atakaa bench maana 2-2 japo mchezo mwingine utakuwa ni home court kwa GSW lakini huwezi jua a mistake here a mistake there then ghafla tu PB wanaongoza series 3-2.
Ndio mpango wenyewe, kama Warriors wangeshinda leo Curry angeendelea kukaa benchi lakini kwa hali lilivyo sasa itabidi acheze.
 
Nimekuelewa Mkuu mie shabiki tu lakini pamoja na kuwa shabiki na kujua ubora wa hawa GSW napenda kuona wanatikiswa sio wanachukua kirahisi rahisi tu na nilitamani LA Clippers ndiyo wangeingia badala PB kwa maoni yangu Clippers wangewapeleka puta zaidi kuliko hawa lakini majeruhi ndiyo yakakata kiu chao. Kwa matokeo haya ya leo sidhani kama Steph Curry mchezo ujao atakaa bench maana 2-2 japo mchezo mwingine utakuwa ni home court kwa GSW lakini huwezi jua a mistake here a mistake there then ghafla tu PB wanaongoza series 3-2.

Ha ha ha, una maombi kama yangu mkuu. Ila GSW wako vizuri ukilinganisha na na hawa PB, Curry lazima acheze game ijayo kwa sababu tena hawako kwenye luxury.
 
@mags3 umeona rekodi ya Cavs? 20+ 3 pointers katika games 3 mfululizo. #NBARecord
Against the same team that plays no defense.. Hongereni sana, na leo pigine zingine 25 tu
 
Kumbe! Chicken Curry na GSW walifunga ngapi kwani?
I thought your the one hutaki tuongelee historia.. Aren't u?? teh teh teh teh

Sisi hatukuwapiga 20+ 3's ila tuliwapiga nyinyi na wao both 2-0 on regular season teh teh
 
I thought your the one hutaki tuongelee historia.. Aren't u?? teh teh teh teh

Sisi hatukuwapiga 20+ 3's ila tuliwapiga nyinyi na wao both 2-0 on regular season teh teh
Anyway, Cavs ndiyo season leaders katika 3 pointers percentage. Hivyo hawabahatishi.
 
Anyway, Cavs ndiyo season leaders katika 3 pointers percentage. Hivyo hawabahatishi.
Sasa pamoja na kuongoza kwanini mnaisingizia GSW kwamba wanachofanya ni kushoot 3's tu... teh teh teh

Mnajipaka matope wenyewe sasa...
 
teh teh teh teh SKRUDA anawakimbiza hivi mpaka mnakimbilia TO ndio mnataka mcheze na Warriors... Haki mtapata kichapo kisicho cha kawaida teh teh teh
 
5Very close game, ATL leads 97 to Cav's 96 with 1.34 tp go.
 
Back
Top Bottom