Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #2,041
My feelings are always right teh teh nisipolia lia kwenye game kama hizi huwa hatushindi..Mbona unaanza kulialia ndugu yangu? Unakuwa kama wale jamaa...game mbona bado sana?
According to GSW's team statistics (brought by Mag3) Green is the team's MVP. So, it isn't about someone's thought; it is the team's reality broh! Otherwise, you want to say the stats were wrong!So whoever thought Curry doesn't deserve an MVP Award then he is wrong..
Stats zipi weka hapa mzee... Umeona hiyo performance ya leo??According to GSW's team statistics (brought by Mag3) Green is the team's MVP. So, it isn't about someone's thought; it is the team's reality broh! Otherwise, you want to say the stats were wrong!
Halafu kuna watu eti wanahoji kwa nini awe MVP. Kama kuna mtu hajui maana ya MVP leo Steph Curry katoa somo!Curry ni shida
Stats aliweka Mag3 kipindi fulani karibu na mwisho wa regular season. Kumbe performances za playoffs zina-count kwenye NBA's MVP?!! Kwa hiyo unatumia performance ya leo ya Curry ambaye amekosa mechi kadhaa kwenye playoffs kuonyesha is the best kwenye playoffs ama?Stats zipi weka hapa mzee... Umeona hiyo performance ya leo??
40 Points just from Injury.. GSW were 21-5 5 minutes before the end of 1 quarter, Steph checks in and history is history..
Doh! Hata wewe unajifanya kusahau? Uliletaga takwimu humu zikionyesha umuhimu wa wachezaji kwenye timu ya GSW. Pengine uzee umekufanya usahau. Sina muda tu, ila ningepekua posts za nyuma kidogo ili kukuonyesheni.Stats zipi hizo ndugu yangu Nzi...hebu ziweke hapa.
Per plus/minus hazisaidii chochote kuonesha mchango wa MVP.. Wewe unajua basketball au unaligi za ubishi tu aisee??Stats aliweka Mag3 kipindi fulani karibu na mwisho wa regular season. Kumbe performances za playoffs zina-count kwenye NBA's MVP?!! Kwa hiyo unatumia performance ya leo ya Curry ambaye amekosa mechi kadhaa kwenye playoffs kuonyesha is the best kwenye playoffs ama?
#MahabaNiue
Wewe hata maana ya Per +/- hujui.. Hujui hata vigezo vya mtu kuchaguliwa MVP, sema hapa tukuwekee sio ubishi usio na msingi..Doh! Hata wewe unajifanya kusahau? Uliletaga takwimu humu zikionyesha umuhimu wa wachezaji kwenye timu ya GSW. Pengine uzee umekufanya usahau. Sina muda tu, ila ningepekua posts za nyuma kidogo ili kukuonyesheni.
There's no rush, take your time...tuwekee hizo stats tafadhali. Ninachojua kwenye kura akitafutwa MVP wa msimu huu Steph Curry alishinda akifuatiwa kwa mbaaaaali na LeBron!Doh! Hata wewe unajifanya kusahau? Uliletaga takwimu humu zikionyesha umuhimu wa wachezaji kwenye timu ya GSW. Pengine uzee umekufanya usahau. Sina muda tu, ila ningepekua posts za nyuma kidogo ili kukuonyesheni.
teh teh teh ile ilikuwa game ya 30 Point loss at their home...Kuna ile pic ya Steph stealing from LeBron, yaani ile imekuwa immortalized the self-proclaimed king ameachwa akiduwaa. Sio tu kuduwaa kwa such steal, ni kuduwaa in a "boy-this-kid-is-a-new-world-wonder" kind of sense. So... Just hand the kid all the graces coz he deserves it. I know kuna mtu tu atapinga.