Lakini jamani tuwe fair kidogo...mtu utampendaje muuaji kama Curry? Tuseme kwa mfano wewe ni mshabiki wa LBJ, ni kitu gani kitakufanya umpende Curry? Nakumbuka miaka ya 60s Waingereza walivyomchukia
Pele...wakati huo wanaye
Bobby Charlton.
Nzi na
Raimundo, mnayo kila haki ya kutompenda huyu dogo na kama mngekuwa na uwezo mngehakikisha anabaki kwenye benchi. Mfani mwingine ni Wa New Zealand walivyomchukia Filbert Bayi...wakati huo wanaye John Walker akivunja rekodi za mbio ndefu. Hivyo ndivyo binadamu walivyo.
Na kwa timu ni hivyo hivyo, mpenzi wa Chicago Bulls anashuhudia vijana wa Golden State Warriors wakifuta rekodi zao zilizodumu kwa miaka ishirini! Haka, hawawezi kufurahi.