Hivi hii ilitokeaga kweli au?! Coz I think I need a reminder (or someone does).
teh teh teh alifungwa by 30 points... 120-90 at Quicken Loans Arena
Nimekwambia plus/minus box sio determinant ya mtu kupewa MVP Award... Pundits walishaongelea hilo
Hilo swali sina jibu lake! Lakini kama MVP inatokana na the best performing player, narudia tena kusema, two wrongs don't make it right.Mwaka jana Curry ameongoza lakini kwanini Players wenyewe walikuwa discouraged na Curry kupewa na wakaja wakampa Harden??
January 18th, 2016 at Quicken Loans Arena Cleveland;
GSW....132
CAVS...98
Huu ulikuwa ni ushindi mkubwa wa GSW ugenini wa vikapu 34!
Yaani ni kama umepanic, mara uite watu dogo, mwingine uite babu.. Ni vipi mzee??
Umeona unavyo-reason braza? Two wrongs never make it right! Kama MVP inatolewa kwa best performing player (ambaye anapaswa kuwa the best kuanzia kwenye timu yake), basi huo msimu wa 96/97 walifanya makosa.
Nilifikiri tunaongelea regular NBA MVP!! Haya ya playoffs yatafikia muda wake. Na swali dogo tu, Curry bila Green atafanya nini?
Mkuu Xmas game ndiyo tulipiga kwetu tukawapiga kwa single digit lead.. Rematch ndiyo ilikuwa kwenu tukawapiga kwa 34 nadhani tena tulicheza back to back after Quicken tukaenda Chicago nae tukampiga kwa 30...Uwanja ilikuwa upi?
Nadhani hii ilikuwa kwao GSW, siyo kwa Cavs. Nikumbushwe kama nimesahau.
ENOUGH SAID............''If you're "trying" to hate on steph curry you are definitely just reaching for it. Fan or not, you can't hate or deny his greatness.''Yaani ni kama umepanic, mara uite watu dogo, mwingine uite babu.. Ni vipi mzee??
Nimekwambia tu alichofanya Curry leo ndio amefanya hivyo msimu mzima labda kama wewe huangalii games.. Ukimtoa nje Curry anaona kabisa Warriors inavyostruggle ila Dray hataacha pengo kubwa kama akitoka.. Na nimekutolea mfano tu hizi series ni moja ya kuonesha strength ya Curry..
Curry is averaging 30+ a game.. Shooting 90/50/40 Leading NBA, Leading NBA in steals, Dray average more assist than Curry kwa nature ya mchezo wa Warriors.. PF ndiye anacheza kama Point Guard ili kuwaacha 2 deadly shooters Klay and Curry free.. Dray is good defensively but he needs Curry and Klay offensively.. Na Curry ndiye kabeba timu kwenye games nyingi.. He is more clutch than anybody on NBA kwa sasa.. Performance zake zote kwenye closer games amekua akiibeba timu na kuipa ushindi..
Basi sawa.Yaani ni kama umepanic, mara uite watu dogo, mwingine uite babu.. Ni vipi mzee??
Nimekwambia tu alichofanya Curry leo ndio amefanya hivyo msimu mzima labda kama wewe huangalii games.. Ukimtoa nje Curry anaona kabisa Warriors inavyostruggle ila Dray hataacha pengo kubwa kama akitoka.. Na nimekutolea mfano tu hizi series ni moja ya kuonesha strength ya Curry..
Curry is averaging 30+ a game.. Shooting 90/50/40 Leading NBA, Leading NBA in steals, Dray average more assist than Curry kwa nature ya mchezo wa Warriors.. PF ndiye anacheza kama Point Guard ili kuwaacha 2 deadly shooters Klay and Curry free.. Dray is good defensively but he needs Curry and Klay offensively.. Na Curry ndiye kabeba timu kwenye games nyingi.. He is more clutch than anybody on NBA kwa sasa.. Performance zake zote kwenye closer games amekua akiibeba timu na kuipa ushindi..
Huwa aangalii games za Warriors.. Ila sio mbaya ataziangalia kwenye finalsENOUGH SAID............''If you're "trying" to hate on steph curry you are definitely just reaching for it. Fan or not, you can't hate or deny his greatness.''
And he said he is not 100% okay..The deadliest of assassins is back
The playoffs have officially begun with his return. I'm glad that the way he came back he has quickly discarded any lame thoughts and false hope other teams had about him not being 100%.The message by Curry was clear, he only needed 2.5qtrs to get back, other teams can kiss the title goodbye.Huwa aangalii games za Warriors.. Ila sio mbaya ataziangalia kwenye finals
Lakini jamani tuwe fair kidogo...mtu utampendaje muuaji kama Curry? Tuseme kwa mfano wewe ni mshabiki wa LBJ, ni kitu gani kitakufanya umpende Curry? Nakumbuka miaka ya 60s Waingereza walivyomchukia Pele...wakati huo wanaye Bobby Charlton.The deadliest of assassins is back
Word, bruv!. Word.Lakini jamani tuwe fair kidogo...mtu utampendaje muuaji kama Curry? Tuseme kwa mfano wewe ni mshabiki wa LBJ, ni kitu gani kitakufanya umpende Curry? Nakumbuka miaka ya 60s Waingereza walivyomchukia Pele...wakati huo wanaye Bobby Charlton.
Nzi na Raimundo, mnayo kila haki ya kutompenda huyu dogo na kama mngekuwa na uwezo mngehakikisha anabaki kwenye benchi. Mfani mwingine ni Wa New Zealand walivyomchukia Filbert Bayi...wakati huo wanaye John Walker akivunja rekodi za mbio ndefu. Hivyo ndivyo binadamu walivyo.
Na kwa timu ni hivyo hivyo, mpenzi wa Chicago Bulls anashuhudia vijana wa Golden State Warriors wakifuta rekodi zao zilizodumu kwa miaka ishirini! Haka, hawawezi kufurahi.
Fikiria scenario hii Raimundo;Mpaka dakika ya mwisho Cavs vs GSW (kama mkifika final).
We are ready for revenge.
Fikiria scenario hii Raimundo;
Q1
GSW.......18
Blazers....26
Q2
GSW.......39
Blazers....41
Q3
GSW.......29
Blazers....18
Q4
GSW.......25
Blazers....26
OT
GSW.......21
Blazers....14
Katika dakika 5 za OT, Curry alifunga 17! Hii ina maana kila dakika alifunga mara tatu na zaidi. Kwa hesabu za haraka haraka akicheza dakika 30 anaweza kufunga 112! Je wangapi wameiona picha ya Paul Allen mmiliki wa Portland Trail Blazers wakati Curry anafanya vitu vyake kwenye overtime? Kidogo azimie...!
Huyu hapa, haamini anachoona...!
Raimundo katika ubora wake kama sportsmanInatokea mara moja tu mkuu, so hutakiwi kuwa na wasi wasi kama ni mpinzani.
Hizi projection za dakika 5 ka-score 17, hivyo dakika 30 atafunga 112 ni unrealistic. Ni sawa na mwaka jana wakati Clay Thompson anafunga 37 kwenye robo moja ungesema atakuwa anafunga 37*4=148 kwa robo nne.