NBA Season 2015 - 2016: Special thread



Steph Curry greatness is resonating into other leagues and even relates to their vaunted legendary elites. Being an NFL fan myself, being mentioned alongside Tom Brady is no small feat asee.
 


Steph Curry greatness is resonating into other leagues and even relates to their vaunted legendary elites. Being an NFL fan myself, being mentioned alongside Tom Brady is no small feat asee.
The moment he won the awards for the "most interactive guy" with the media..I could see it coming. ..but you know.."there is always that one guy who can't deny it"..Just messing up everything with his "Vote"
 


This is not "beating some senses in the 'Curry-haters virtually", nah, it's "appreciating greatness for what it is... GREATNESS". And right now... Mr. Unanimous is the epitome of that word.
 

Never in the history of NBA has there been
a more befitting individual pick for MVP
till Steph Curry came along!​

The above summarizes it all guys...
 

Never in the history of NBA has there been
a more befitting individual pick for MVP
till Steph Curry came along!​

The above summarizes it all guys...
..and he accomplished that by playing only less than 35 mins per game..Missing equivalent of at least 18-20 4th quarters..
 
Aiseeeee The Thunder are serious this time... They are beating SAS at their will.. They've have taken game 5. it's upon to them to end it in Chesapeake Arena. Tatizo lao unapowategemea waue wanauawa.

On a serious Note I don't see SAS beating the Warriors if they go through this series
 
Yaani Spurs were up 88-82 with 3:55 minutes remaining and lost 95-91???? I've never seen a Spurs balling ugly this way. They seem to have lost their hearts
 

Mkuu hiyo mara moja ninayoisema ni hiyo ya ku-score 17 points in 5 minutes ambayo unataka kuifanyia multiplication ya eti atapata 112 in 30 minutes! Ni kweli uko serious na hii sentensi au unachangamsha genge!

Naomba niahidi kitu, kama atakaa arudie ku-score 17 kwenye OT, au kuscore 80 points kwenye game 1, nitakupa $100 au niitoe JF kama mchango wa member yoyote humu awe Premium Member.
 
Washabiki wa mchezo wa Basket wana furaha sana leo kwa Stephen Curry kuchaguliwa kuwa mchezo bora wa msimu wa 2015-16.

Kwa alichokifanya msimu huu dogo anastahili hiyo tuzo bila kipingamizi,.

All in All, ubingwa bado ni mgumu kwake, tumepania na tutashinda.
 
Take it easy my friend Raimundo, kwa nini arudie ku-score 17 kwenye OT? Je aki-score zaidi ya hapo? Kwa miaka ishirini wapo walioamini rekodi ya Bulls haiwezi kufikiwa, well, imefikiwa na imevunjwa...sasa kwa madai yako hapa ni kama vile unahoji kama Warriors wanaweza kurudia kufikia rekodi hiyo!

Katika mchango wangu nilisema hivi, Katika dakika 5 za OT, Curry alifunga 17! Hii ina maana kila dakika alifunga mara tatu na zaidi. Kwa hesabu za haraka haraka akicheza dakika 30 anaweza kufunga 102 (anaweza, siyo atafunga)

Mbona hii ni hesabu rahisi tu...ni sawa na kusema kama kwa shilingi moja unapata machungwa matano je kwa shilingi tano unapata machungwa ishirini na matano! Sasa wewe unadai kama nitakaa nirudie kupata machungwa matano kwa shilingi utanipa $100 au kutoa JF kama mchango wa member, are you serious?

Ha ha haaaa, mbavu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!
 

Hesabu yako iko sahihi kimahesabu, ila kimichezo ni unrealistic. Are you serious kuamini kwamba atascore 102 akicheza dakika 30? Tuanzie hapo kwanza.

Hii ahadi nimeiweka mimi, rekodi zipo na zinavunjwa, mimi kuweka hiyo $100 ni moja ya appreciation ya alichokifanya Curry na ninaiweka kama motivation ili arudie hiyo kitu, kuna vitu vinatokea mara moja tu in a life time, hii ni moja ya vitu hivyo.

Nimefananisha na zile 37 points za Klay in one quarter, nikauliza akicheza Q4 atascore 37*4=148, mpunguzie tu basi umpe hata 100; haiwezekani hii kaka.
 

Kumbuka nilitumia neno anaweza na siyo atafunga, Je ni sawa wewe kudai hawezi? Je Klay hawezi kufunga 37 kwenye quarter moja? Mimi nasema anaweza kwani tayari ameweza kufanya hivyo.
 
Kumbuka nilitumia neno anaweza na siyo atafunga, Je ni sawa wewe kudai hawezi? Je Klay hawezi kufunga 37 kwenye quarter moja? Mimi nasema anaweza kwani tayari ameweza kufanya hivyo.

Curry kufunga 17*6=102 akicheza dakika 30 hawezi na hataweza.

Klay kufunga 37*4 = 148 akicheza quarter 4 hawezi na hataweza.

Hiyo ya kurudia 17 OT au Klay kufunga 37 kwenye quarter inawezekana kutokea (chansi ni almost imposible), ila hizo za juu sahau hata kwa kutumia lugha gani.
 
Hiyo ya kurudia 17 OT au Klay kufunga 37 kwenye quarter inawezekana kutokea...
Exactly, inawezekana...sasa ugomvi wa nini mwenzangu! Yawezekana huko awali hukuamini inawezekana lakini waliweza na hiyo ni fact, si uzushi. Wape vijana haki yao Raimundo, kama waliweza kwa nini wasiweze tena?

Kwa ulinganifu tu kwenye finals tarehe 11 June, 2015 mwaka jana GSW waliifunga CAVs nyumbani kwao kwa tofauti kubwa ya pointi 103-82 na wapo watu walibeza wakiapa na kudai ilikuwa ni bahati tu isiyoweza kurudiwa.

Lakini tarehe 18 Januari mwaka huu GSW wakainyanyasa tena CAVs kwa tofauti kubwa zaidi ya pointi 132-98 na ingawa mwanzoni hukuweza kuamini, baada ya kukupa ushahidi nadhani ulikubali...history always repeats itself.
 

Mkuu nimekubaliana na wewe kwa hili, natumaini utakubaliana na mimi kuhusu 102.
 
Mkuu nimekubaliana na wewe kwa hili, natumaini utakubaliana na mimi kuhusu 102.
Tuko pamoja mkuu, je unauonaje mchezo wa leo, GSW atakata mzizi wa fitna au Portland bado hatakubali. Kwa bahati mbaya siwezi kuhudhuria hivyo nitabakia mtazamaji tu kupitia luninga.
 
Tuko pamoja mkuu, je unauonaje mchezo wa leo, GSW atakata mzizi wa fitna au Portland bado hatakubali. Kwa bahati mbaya siwezi kuhudhuria hivyo nitabakia mtazamaji tu kupitia luninga.

Portland hawezi kuhimili uwepo wa Curry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…