Ni lini nimeacha kuwa na confidence? Ni kweli wapo waliohama kabisa jukwaa ingawa naambiwa wanachungulia tu kwa mbaaali. Pamoja na GSW kusambaratisha mipango ya wengi mwaka jana, ajabu bao mpo wachache hamjakiri kwamba hao vijana ni moto wa kuotea mbali. Safari hii sijui excuse zipi zitakazotolewa...ngoja nianze kuzitafuta.
Je unayo habari kwamba kwa CAVS msimu huu GSW inaongoza 2-0 (89-83 na 132-98)Kwa moto huu wa Cavs with health KI and KL, sahauni ubingwa mazee, tena msahau kabisa.
Tunawasweep Toronto (sana sana wakijitahidi itakuwa 4-1), tunawasubiri ninyi mhangaishane huko na kina KD na RW. Mkifanikiwa kuvuka mjue thisi time hamna chenu mkuu.
Je unayo habari kwamba kwa CAVS msimu huu GSW inaongoza 2-0 (89-83 na 132-98)
Swali linalofuatia ni je KI na KL walikuwepo wakati CAVS wanatandikwa mara mbili bila?
Kwa OKC msimu huu GSW inaongoza 3-0 (116-108, 121-118 na 121-106)
Je KD na RW walikuwepo wakati OKC wanatandikwa mara tatu bila?
Je kwa msimu uliopita regular season results hayakuwa determinant kwenye playoffs? Mbona hiyo hiyo GSW iliyoshika nadasi ya kwanza (both East and West), ndiyo ilinyakua ubingwa? Ama hiyo theory yako ina-apply kwa timu fulanu fulani tu? Hebu niambie msimu wa 2013/2014 ilikuwaje? Na misimu kabla ya hapo ilikuwaje?Kila mara nasema humu, regular season results siyo determinant kwenye playoffs, bahati nzuri uko kwenye system kwa muda mrefu sana na unajua kwamba hii ni kweli.
2012 OKC ilinyakua first place overall kwenye regular na ikatwaa ubingwa kwenye finals!
Huyu Curry ukimsema vibaya lazima akutie aibu...Russell Westbrook on Stephen Curry.
He's a shooter. He's not nothing I haven't seen.
Hahahaha I hope Westbrook shuts Curry down. Unless otherwise this jibe will haunt him.
Anyway we need this type of mentality and not giving in onto some players and accepting their greatness over you.
To Curry i guess this is a challenge accepted.
Hayo maneno ulianza kuyatoa Xmas.. Ukaambulia aibu, akaja rematch ukaambulia aibu, ukaja Spurs defense will beat Warriors ukaambulia aibu, ukasema last 2 games against Spurs zitatunyima kuweka record ila nayo ukaambulia aibu..Kwa moto huu wa Cavs with health KI and KL, sahauni ubingwa mazee, tena msahau kabisa.
Tunawasweep Toronto (sana sana wakijitahidi itakuwa 4-1), tunawasubiri ninyi mhangaishane huko na kina KD na RW. Mkifanikiwa kuvuka mjue thisi time hamna chenu mkuu.
Huyu Curry ukimsema vibaya lazima akutie aibu...
Walisema Kawhi ndiye lock ya Curry, kilichotokea ni Kawhi kufanywa kama a rookie defender..
Sasa huyu Russel leo lazima atalazwa na viatu..
Hayo maneno ulianza kuyatoa Xmas.. Ukaambulia aibu, akaja rematch ukaambulia aibu, ukaja Spurs defense will beat Warriors ukaambulia aibu, ukasema last 2 games against Spurs zitatunyima kuweka record ila nayo ukaambulia aibu..
Sasa umesema KI and KL wako moto... Tusubiri !!!!
Warriors ukiwapania utajikuta kwenye aibu tu.. Waangalie wote waliotupania kwenye regular kilichowapata..Russel kapania sana hii game, ananipa matumaini ya kuwa game yenye ushindani.
Warriors ukiwapania utajikuta kwenye aibu tu.. Waangalie wote waliotupania kwenye regular kilichowapata..
Unakuta ni timu za ajabu tu ndizo zimetufunga tena zikiwa hata hazijafikiri kufanya hivyo.. Russel kuzikimbiza vizee vya Spurs kumempa kichwa..
Sijasema Russel kafanya vibaya kuongea hivyo.. Hata kabla ya All Star Game ile mechi ya OKC na Warriors alihojiwa kuhusu Curry ila kama alikebehi hivi... Lakini Curry alihojiwa kuhusu Russel na alijibu vizuri tu kiuwanamichezo.. Nachopenda hizi trash talks Curry huwa anamwachia Green na mdogo wake Klay..Siyo kumpa kichwa, katika hali ya kawaida game inanoga kukiwa na hizi Trash Talks, siyo mnaenda kwenye game kama mnaenda church kuimba kwaya.
Lazima ujipe motivation.
Sijasema Russel kafanya vibaya kuongea hivyo.. Hata kabla ya All Star Game ile mechi ya OKC na Warriors alihojiwa kuhusu Curry ila kama alikebehi hivi... Lakini Curry alihojiwa kuhusu Russel na alijibu vizuri tu kiuwanamichezo.. Nachopenda hizi trash talks Curry huwa anamwachia Green na mdogo wake Klay..
Namkubali sana RW kama mchezaji. Ila simkubali kabisa katika upande wa mavazi; jamaa sijui anavaaga manguo ngani!!Of course kila mmoja ana jinsi anavyo-approach game na jinsi anavyoongea mbele ya vyombo vya habari.
Russel ni some kind ya rude boy, hata anavyocheza game ni kama vile ni ugomvi, so mtu wa aina yake usitegemee sweet-talk kama ya Curry.