Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Ni lini nimeacha kuwa na confidence? Ni kweli wapo waliohama kabisa jukwaa ingawa naambiwa wanachungulia tu kwa mbaaali. Pamoja na GSW kusambaratisha mipango ya wengi mwaka jana, ajabu bao mpo wachache hamjakiri kwamba hao vijana ni moto wa kuotea mbali. Safari hii sijui excuse zipi zitakazotolewa...ngoja nianze kuzitafuta.
Kwa moto huu wa Cavs with health KI and KL, sahauni ubingwa mazee, tena msahau kabisa.
Tunawasweep Toronto (sana sana wakijitahidi itakuwa 4-1), tunawasubiri ninyi mhangaishane huko na kina KD na RW. Mkifanikiwa kuvuka mjue thisi time hamna chenu mkuu.