Timu nzuri hupata taabu sana kucheza na timu ambayo haina mpango wa Ubingwa and then kucheza huwa wanajua so huwa hawana presha ukiwangia ovyo ndio lazima uchapwe... hata Hapa Kwetu ligi iliyoisha kuna timu zimechapwa haziamini ligi ya klabu bingwa iliyoisha juzi Savio akabeba...Warriors ukiwapania utajikuta kwenye aibu tu.. Waangalie wote waliotupania kwenye regular kilichowapata..
Unakuta ni timu za ajabu tu ndizo zimetufunga tena zikiwa hata hazijafikiri kufanya hivyo.. Russel kuzikimbiza vizee vya Spurs kumempa kichwa..
Nimecheka Sana Hii. Huyu jamaa Kila mtu huwa anaponda style yake ya uvaaji.Namkubali sana RW kama mchezaji. Ila simkubali kabisa katika upande wa mavazi; jamaa sijui anavaaga manguo ngani!!
Namkubali sana RW kama mchezaji. Ila simkubali kabisa katika upande wa mavazi; jamaa sijui anavaaga manguo ngani!!
Ehe, sikuwepo hebu nipe ripoti mwenzangu...naona tu 60-47 na ni HTNaona game imechacha hii kwa OK. Turnovers nyingi sana.
Baada ya hii kuisha utachosema ni hata series ya Spurs walianza hivi... teh teh tehJamani nimeamka kutia fitna OKC achukue game 1.
Nzi, Mag3, King Shaat, Steph Curry, Tyta, Watu8, BAK, Alegria do povo, mchagahalisi na wengineo, game ndo inaanza hivyo.
Naona game imechacha hii kwa OK. Turnovers nyingi sana.
Tatizo kubwa hapo ni kwamba GSW huwa hawafungwagi quarter ya 3... Lead isije ikaamia kwenye 20 tu teh tehJamaa wanaboa sana kama si turnovers wangekuwa wanakula sahani moja na na GSW lakini wanafanya turnovers za kizembe sana. Quarter ya tatu lazima wapunguze hii gap hadi kufikia single digit labda ya 6 kama wanataka kushinda vinginevyo ndiyo wameshapoteza game 1 kwa uzembe wao.
Msihofu hata game ya kwanza na Spurs ilikuwa hivi... Walipigwa kwa 30+ ila wakaja kushinda series.. teh tehOkc naona ananiangusha,russel na kd hawapo mchezon kabisa
Tatizo kubwa hapo ni kwamba GSW huwa hawafungwagi quarter ya 3... Lead isije ikaamia kwenye 20 tu teh teh
Hahaha hapa tunashare the same thoughts mkuu. Af kauzuuu.Namkubali sana RW kama mchezaji. Ila simkubali kabisa katika upande wa mavazi; jamaa sijui anavaaga manguo ngani!!