NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Warriors ukiwapania utajikuta kwenye aibu tu.. Waangalie wote waliotupania kwenye regular kilichowapata..

Unakuta ni timu za ajabu tu ndizo zimetufunga tena zikiwa hata hazijafikiri kufanya hivyo.. Russel kuzikimbiza vizee vya Spurs kumempa kichwa..
Timu nzuri hupata taabu sana kucheza na timu ambayo haina mpango wa Ubingwa and then kucheza huwa wanajua so huwa hawana presha ukiwangia ovyo ndio lazima uchapwe... hata Hapa Kwetu ligi iliyoisha kuna timu zimechapwa haziamini ligi ya klabu bingwa iliyoisha juzi Savio akabeba...
 
Namkubali sana RW kama mchezaji. Ila simkubali kabisa katika upande wa mavazi; jamaa sijui anavaaga manguo ngani!!

Ha ha ha, dogo anajifanya mwana mitindo wa nguo za ajabu. Ila kwenye harusi yake alivaa very normal mpaka watu wakashangaa. Maana walitegemea mambo ya ajabu sana.
 
OKC 6 turnovers against o za GSW, 3.5 minutes to go, results OKC 13 vs 20 GSW.
 
The more Huyu Westbrook anakamia, the more it goes to Golden State Warriors favor. Curry went quite lakini hakupaniki. Huyu Westbrook anakuwa ana mabalaa ya ajabu. This is what sets Lebron and Curry apart.

Having that cool mind and working the weakness for the strong outcome.
 
Jamaa wanaboa sana kama si turnovers wangekuwa wanakula sahani moja na na GSW lakini wanafanya turnovers za kizembe sana. Quarter ya tatu lazima wapunguze hii gap hadi kufikia single digit labda ya 6 kama wanataka kushinda vinginevyo ndiyo wameshapoteza game 1 kwa uzembe wao.

Naona game imechacha hii kwa OK. Turnovers nyingi sana.
 
Jamaa wanaboa sana kama si turnovers wangekuwa wanakula sahani moja na na GSW lakini wanafanya turnovers za kizembe sana. Quarter ya tatu lazima wapunguze hii gap hadi kufikia single digit labda ya 6 kama wanataka kushinda vinginevyo ndiyo wameshapoteza game 1 kwa uzembe wao.
Tatizo kubwa hapo ni kwamba GSW huwa hawafungwagi quarter ya 3... Lead isije ikaamia kwenye 20 tu teh teh
 
Hakuna aliyetegemea timu mbovu kama Minnesota iifunge GSW nyumbani kwao lakini ikaweza, hakuna kisichoshindikana ni determination tu.

Tatizo kubwa hapo ni kwamba GSW huwa hawafungwagi quarter ya 3... Lead isije ikaamia kwenye 20 tu teh teh
 
Kweli hizi ni Play off hapa Warriors tunapigwa ndani ya game 5 au 6... teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom