NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Last year?! Since last year?!. Duh kweli kuna kamsemo huku wanakasemaga, Raimundo, Tyta, Nzi, Mag3, na NN wanakajua. But to cut the whole question short....


WHERE WERE YOU, BRUH? (just a light touch don't get it twisted).

Its cool bro, I am not a regular in this thread because last time i came back, there'd been too much said, i couldn't keep up, I usually tweet more than write here, but i remember what i said last time i was here, there was too much luck involved in their title run last season (of course they deserved to win it but you couldn't help look at who they faced).

Yes they can still turn this thing around and win it all but even in their first round match-up vs Houston, i remember tweeting, they already faced more adversity than the whole of last season when Curry went out injured.
 
Kwani nani hajaweka akiba ya maneno mkuu. Au mi ndo Mareesse Speights
Dah! Saa zingine uwa unanishangaza sana braza! Kwani ulivyoleta hiyo habari ulitakaje labda? Si umeleta ijadiliwe? Ambaye hajaweka akiba ya maneno ni huyo Speights, na ndiye napeleka ujumbe kwamba atulie na court ndiyo iongee kwenye games zilizobaki.
 
Dah! Saa zingine uwa unanishangaza sana braza! Kwani ulivyoleta hiyo habari ulitakaje labda? Si umeleta ijadiliwe? Ambaye hajaweka akiba ya maneno ni huyo Speights, na ndiye napeleka ujumbe kwamba atulie na court ndiyo iongee kwenye games zilizobaki.
Hahahahaha hapo sawa .... maana daaahh nyie Cavs bana
 
Curry kuwa na akiba ya maneno braza..

Haya maneno niliyasikia kwa LBJ wakati wako down 3-1 kwa Spurs 2014; kimeshanuka.

Nilikuwa nataka hawa jamaa waondolewe ila siyo kwa kipigo cha namna hii, nashangaa naanza kuwaonea huruma.

Our dear top 5 PG of all time being exposed.

 
hahahah''akiba ya maneno'' sio?!?!....

Siyo akiba ya maneno kivile, ni vile tu nina furaha sana iliyopitiliza kwa nyie kufungwa, sasa kiushabiki naweza kuandika maneno ambayo yatawaumiza washabiki pinzani.

Unajua furaha ikipitiliza kwenye hii michezo unaweza kupitiliza pia. Najaribu kweli leo kuchagua maneno ya kuandika.
 
we are made of flesh and have emotions.....Ni kweli it is disturbing,hasa ukizingatia sisi wa bongo inatulazimu kuamka saa 9-10 alfajiri kisha baada ya hapo majukumu ya siku yaanze(You know what I mean)..But mwisho wa siku we all go through this at one point or the other.Having said that...I firmly believe we still have a chance to make it happen...''This script is far from over''...
 

Nakubaliana na wewe kaka, ndo maana samtaim inabidi kuchagua maneno kweli ili jukwaa liendelee.

Leo nimeona members wengi kweli kweli wamefufuka, na kila GSW akifungwa wanaibuka wapya na wale dormant.
 
Ha ha ha, RW kamkimbiza kijana.

Yeye akomae tu, mshabiki mzuri lazima uwe mgumu wa kupokea kipondo pia.
RW has been an X-Factor,Sometime I just think if we pull a ''BIYOMBO''(1 individual solely tasked to protect the rim and clean up the mess) against him might work.But whom am I?..Just a ''delusional'' fan I guess
 
Tokea L.Lakers iwe inafanya vibaya nimepunguza kutazama Games naona kama radha hamna...

Hali hii ilinitokea Jordan alipo Staafu Kikapu...

Nitaanza kutizama vizuri Msimu ujao... kwasasa nazuga zuga tu... Kupenda timu ambazo hazikai moyoni... issue nzito kwangu... Japo jamaa wanapiga Game so mchezo... Ila Kila Durant kila la kheri kwao... Cleveland nao Wakitolewa i will feel good


''So let be Written, So let it be done''
 

Lakers ni jina tu sema ni mshabiki wa Kobe Bryant tu.Kuna timu zinapiga kikapu si mchezo, Blazes japokuwa wametolewa bt walionyesha kiwango, kuna Toronto wapo vizuri tu nazo umeshindwa kuziangalia, najua huwapendi KD na RW basi hata mkubali LeBron James cz Stephen curry ashapotezwa.
 

Kuna timu kadhaa ambazo zinakuja kwa kasi - Orlando Magic, Detroit Pistons, Utah Jazz, Boston Celtics, na Charlotte Hornets....na kwa mbali Milwaukee Bucks.....

Hizo timu zitakuja kusumbua ligi ya NBA miaka michache ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…