Alegria do povo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 293
- 441
Kwani nani hajaweka akiba ya maneno mkuu. Au mi ndo Mareesse SpeightsThe best thing is to have "akiba ya maneno", and let basketball on the court talk!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani hajaweka akiba ya maneno mkuu. Au mi ndo Mareesse SpeightsThe best thing is to have "akiba ya maneno", and let basketball on the court talk!
Last year?! Since last year?!. Duh kweli kuna kamsemo huku wanakasemaga, Raimundo, Tyta, Nzi, Mag3, na NN wanakajua. But to cut the whole question short....
WHERE WERE YOU, BRUH? (just a light touch don't get it twisted).
Dah! Saa zingine uwa unanishangaza sana braza! Kwani ulivyoleta hiyo habari ulitakaje labda? Si umeleta ijadiliwe? Ambaye hajaweka akiba ya maneno ni huyo Speights, na ndiye napeleka ujumbe kwamba atulie na court ndiyo iongee kwenye games zilizobaki.Kwani nani hajaweka akiba ya maneno mkuu. Au mi ndo Mareesse Speights
Hahahahaha hapo sawa .... maana daaahh nyie Cavs banaDah! Saa zingine uwa unanishangaza sana braza! Kwani ulivyoleta hiyo habari ulitakaje labda? Si umeleta ijadiliwe? Ambaye hajaweka akiba ya maneno ni huyo Speights, na ndiye napeleka ujumbe kwamba atulie na court ndiyo iongee kwenye games zilizobaki.
yet you have been doing quite the contrary so far....😎😎The best thing is to have "akiba ya maneno", and let basketball on the court talk!
Curry kuwa na akiba ya maneno braza..
no one is going that easy,you best believe it..Haya maneno niliyasikia kwa LBJ wakati wako down 3-1 kwa Spurs 2014; kimeshanuka.
Nilikuwa nataka hawa jamaa waondolewe ila siyo kwa kipigo cha namna hii, nashangaa naanza kuwaonea huruma.
Our dear top 5 PG of all time being exposed.
View attachment 350841
no one is going that easy,you best believe it..
hahahah''akiba ya maneno'' sio?!?!....Leo sina maneno mengi sana, maana sijui mstakabari wa game ya Toronto. Ngoja tushinde hata game 1 kwanza.
hahahah''akiba ya maneno'' sio?!?!....
Kumbe! Basi, nitajitahidi kuweka akiba ya maneno sasa...nisije kimbia kama mdogo wangu Steph Curryyet you have been doing quite the contrary so far....😎😎
we are made of flesh and have emotions.....Ni kweli it is disturbing,hasa ukizingatia sisi wa bongo inatulazimu kuamka saa 9-10 alfajiri kisha baada ya hapo majukumu ya siku yaanze(You know what I mean)..But mwisho wa siku we all go through this at one point or the other.Having said that...I firmly believe we still have a chance to make it happen...''This script is far from over''...Siyo akiba ya maneno kivile, ni vile tu nina furaha sana iliyopitiliza kwa nyie kufungwa, sasa kiushabiki naweza kuandika maneno ambayo yatawaumiza washabiki pinzani.
Unajua furaha ikipitiliza kwenye hii michezo unaweza kupitiliza pia. Najaribu kweli leo kuchagua maneno ya kuandika.
hahah...we all differ on how to handle/deal with adversity...Kumbe! Basi, nitajitahidi kuweka akiba ya maneno sasa...nisije kimbia kama mdogo wangu Steph Curry
Kumbe! Basi, nitajitahidi kuweka akiba ya maneno sasa...nisije kimbia kama mdogo wangu Steph Curry
we are made of flesh and have emotions.....Ni kweli it is disturbing,hasa ukizingatia sisi wa bongo inatulazimu kuamka saa 9-10 alfajiri kisha baada ya hapo majukumu ya siku yaanze(You know what I mean)..But mwisho wa siku we all go through this at one point or the other.Having said that...I firmly believe we still have a chance to make it happen...''This script is far from over''...
RW has been an X-Factor,Sometime I just think if we pull a ''BIYOMBO''(1 individual solely tasked to protect the rim and clean up the mess) against him might work.But whom am I?..Just a ''delusional'' fan I guessHa ha ha, RW kamkimbiza kijana.
Yeye akomae tu, mshabiki mzuri lazima uwe mgumu wa kupokea kipondo pia.
Kipigo cha GSW kimekuwa A blessing in disguise...Maana tumepata shabiki mwanadadaLeo nimeona members wengi kweli kweli wamefufuka, na kila GSW akifungwa wanaibuka wapya na wale dormant.
Tokea L.Lakers iwe inafanya vibaya nimepunguza kutazama Games naona kama radha hamna...
Hali hii ilinitokea Jordan alipo Staafu Kikapu...
Nitaanza kutizama vizuri Msimu ujao... kwasasa nazuga zuga tu... Kupenda timu ambazo hazikai moyoni... issue nzito kwangu... Japo jamaa wanapiga Game so mchezo... Ila Kila Durant kila la kheri kwao... Cleveland nao Wakitolewa i will feel good
''So let be Written, So let it be done''
Lakers ni jina tu sema ni mshabiki wa Kobe Bryant tu.Kuna timu zinapiga kikapu si mchezo, Blazes japokuwa wametolewa bt walionyesha kiwango, kuna Toronto wapo vizuri tu nazo umeshindwa kuziangalia, najua huwapendi KD na RW basi hata mkubali LeBron James cz Stephen curry ashapotezwa.