NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

32 - 2
Next 8 games
Lakers
Blazers
Kings
Heat
Denver
Lakers
Pistons
Cleveland Cavaliers ( away )
How many Ls do u see?
With our full squad back, Cavs tutawaua this time around..

Tena palepale kwao...
 
if it aint broke dont fix it.

Egos zinaweza haribu timu
Mkuu ukisoma hiyo habari utajua kwanini Warriors wangemtaka/watamtaka KD...

And I think hata KD nae anaihitaji Warriors au Spurs apate ring, au ahamie East (Lebron's League)

Barnes, Iggy, Bogut hawa wanaelekea Free Agents, with Ezeli playing big and scores buckets kuliko hata Bogut (Bogut ni mzuri kwenye play making, assists) lakini sasahivi timu ina Curry na Green ambao wanachezesha timu vizuri tu... Kama Barnes atataka mkataba mkubwa, timu inaweza kuwadrop yeye na Bogut na JT then wakamchukua KD...

About EGO, I don't think so... Warriors are most professional ballers, kama Iggy na David Lee walikubali kukaa bench all season bila tatizo lolote kwenye timu sidhani kama watashindwa kuwacommodate two or three or four All Stars (Curry, KD, Green, Klay)
 
Inatamanisha.
Lakini vp kuhusu depth?
Hapo KD na Curry wakiwa majeruhi nani ataziba nafasi na pia NBA ni marathon lazima benchi liwe vizuri.

Hapa ndio NBA walicheza kwa kuweka luxury tax kujaribu kuleta usawa kwenye ligi
 
Mkuu umesahau kwamba kuna madogo wengi tu (MacDoo, Clark, Speights, Looney), tuna elites kama Barbosa na Shaun Livingstone, Iggy (if kept) bado kuna draft na D-league team..

Kumbuka kumpata KD ni kuwadrop wawili kwenye timu ambao nadhani wanaweza kuwa Barnes (but I would want to see him at the Bay) na Bogut... Ila kama Option ni kumdrop mpaka Iggy nitasema hapana... Ila kama ni hao wawili sina tatizo sana
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Wazee kumbe Hasheem hata D-League hayuko tena!

Atakuwa anapiga misele kitaa tu, kwa nini asiende Europe au China?

Hasheem Thabeet.jpg
 
It's 24-9...Cavaliers rocked tonight...Go Cavs Go
 
Last edited:
32 - 2
Next 8 games
Lakers
Blazers
Kings
Heat
Denver
Lakers
Pistons
Cleveland Cavaliers ( away )
How many Ls do u see?
teheteh...there is only W In Warriors.......you will see L in Cavaliers......teheteh..
 
Mungu isaidie timu yangu ya OKC this season
 
35-27 to the Cavs....the highest 1st quarter points for the Cavs this season..
 
Back
Top Bottom