Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #241
With our full squad back, Cavs tutawaua this time around..32 - 2
Next 8 games
Lakers
Blazers
Kings
Heat
Denver
Lakers
Pistons
Cleveland Cavaliers ( away )
How many Ls do u see?
Mkuu ukisoma hiyo habari utajua kwanini Warriors wangemtaka/watamtaka KD...if it aint broke dont fix it.
Egos zinaweza haribu timu
Inatamanisha.About EGO, I don't think so... Warriors are most professional ballers, kama Iggy na David Lee walikubali kukaa bench all season bila tatizo lolote kwenye timu sidhani kama watashindwa kuwacommodate two or three or four All Stars (Curry, KD, Green, Klay)
Mkuu umesahau kwamba kuna madogo wengi tu (MacDoo, Clark, Speights, Looney), tuna elites kama Barbosa na Shaun Livingstone, Iggy (if kept) bado kuna draft na D-league team..Inatamanisha.
Lakini vp kuhusu depth?
Hapo KD na Curry wakiwa majeruhi nani ataziba nafasi na pia NBA ni marathon lazima benchi liwe vizuri.
Hapa ndio NBA walicheza kwa kuweka luxury tax kujaribu kuleta usawa kwenye ligi
95/96 Bulls 35 Games (32 - 3)
15/16 GSW 35 Games (33 - 2)
Wazee kumbe Hasheem hata D-League hayuko tena!
Atakuwa anapiga misele kitaa tu, kwa nini asiende Europe au China?
View attachment 315196
Asee basi huyu atakuwa hakuandikiwaga kucheza kikapu "seriously" NBA. labda kitaa tu, lakini sio ligi hii ya kina Chef!
teheteh...there is only W In Warriors.......you will see L in Cavaliers......teheteh..32 - 2
Next 8 games
Lakers
Blazers
Kings
Heat
Denver
Lakers
Pistons
Cleveland Cavaliers ( away )
How many Ls do u see?