Hahahahahahaha unanifurahisha mkuu. Kwamba ingekuwa Cavs mngeclose deal au
Hahahahaha Clippers mkuu needs to do one thing. Let Griffin go akapate watu watakaomwongoza. OKC hawawezi kumweka Russell Westbrook na Kevin Durant sehemu moja halafu Russell akawa the primary decision maker. Hilo ndilo linawacost despite of RW being a good distributor of the ball now days lakini he's not a good decision maker when it matter the most. The best is for them to splitMkuu hawa jamaa hawajui kulinda goli, 3-1 zinarudi unaangalia tu, tena unaongezwa!
Kuanzia sasa OKC na Clippers nawaweka kwenye group moja, hawatakuja kuwa mabingwa kamwe kwa kipindi cha miaka 10 ijayo.
GSW imeingia tena kwenye lile kundi lililo-defy odds kwa kuwageuzia kibao OKC, from 1-3 to 4-3! Ni timu chache sana zilizoweza kufanya hilo na fundisho hapa ni kwamba kwa Warriors it ain't o'er til it's o'er. Historia ya GSW itakapoandikwa itakuwa na mengi mapya lakini la msingi litakuwa ni jinsi walivyoweza kui-revolutionize mchezo wa Basketball!
Kwa mara nyingine chuki za Barkley kwa Warriors zilijidhihirisha alipotamka kwa mdomo wake kuwa OKC wangeitoa Warriors katika mchezo wa jana. Ningekuwa yeye ningeachana kabisa na hizo tabiri zinazokufanya uonekane juha kabisa asiyejua hata anachoongelea! Ni aibu kubwa kwa hall famer kujidhalilisha kama anavyofanya Charles Barkley!
Napenda sana tabiri za Chuck...katabiri "Cavs atabeba msimu huu".....long time NBA fans know his past prediction records.....
Kwa mara nyingine chuki za Barkley kwa Warriors zilijidhihirisha alipotamka kwa mdomo wake kuwa OKC wangeitoa Warriors katika mchezo wa jana. Ningekuwa yeye ningeachana kabisa na hizo tabiri zinazokufanya uonekane juha kabisa asiyejua hata anachoongelea! Ni aibu kubwa kwa hall famer kujidhalilisha kama anavyofanya Charles Barkley!
Ha ha Haaaa...mbavu zangu!Asee ka unataka kucheka, emb cheki hapa
Instagram video by Sports Videos • May 31, 2016 at 4:30am UTC
Kaka hiki ni kipindi ambacho you've failed to prove kuwa you real meant he's just a shooter and nothing you've never seen. Hahahaha Skip Bayless kamponda Sana Russell Westbrook kwenye first take. Kila akiulizwa kuhusu OKC yeye anazaa na RW.Instagram video by Sports Videos • May 31, 2016 at 2:59am UTC
Sa hapa Russ alimsukuma Steph kwa nini? Yaan hapa ndo naona ana kakinyongo na Steph
Hivi ni kweli OKC wamepoteza ushindi wa 3-1?
Saa hizi ndo nakumbuka kumbe walikuwa wametangulia 3-1?
Mimi sikuwa kabisa na imani na hao OKC.
Deep down nilikuwa na feeling kwamba GSt. wangeshinda tu series nzima licha ya OKC kuwa mbele 3-1.
Naikumbuka kauli yako mkuu juu ya hili.
Leo game 1, though these games always prove nothing when it comes to final results of the series.
Game 1 siyo kesho...?
Dah, ni kesho mkuu, yaani nilishaforward nikajua leo ni Alhamis.
JF's Charles Barkley...Thanks AnywayCavaliers wanaenda kushinda game 1
Here are the 10 most famous athletes in the world, according to ESPN:
10. Rafael Nadal
9. James Rodriguez
8. Virat Kohli
7. Tiger Woods
6. Kevin Durant
5. Roger Federer
4. Neymar
3. Lionel Messi
2. LeBron James
1. Cristiano Ronaldo
Kobe wa 11. For starters, Curry isn't in the top 10 on ESPN's list. Or the top 20. Or even the top 30! He actually comes in at No. 34 on the list behind six other NBA players, including Dwyane Wade (No. 33), Derrick Rose (No. 30), Carmelo Anthony (No. 29), Kobe Bryant (No. 11), Kevin Durant (No. 6), and LeBron James (No. 2). Other athletes who rank ahead of Curry? Golfers Rory McIlroy (No. 20) and Phil Mickelson (No. 13), female tennis players Serena Williams (No. 25) and Maria Sharapova (No. 18), just about every prominent soccer player (Neymar at No. 4, Lionel Messi at No. 3, Cristiano Ronaldo at No. 1), and not one but two cricket players (Mahendra Singh Dhoni at No. 14 and Virat Kohli at No. 8).Hata Kobe Bryant??¿¿