Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As a fan I am happy for GSW,as a human being,I really feel sorry for him..This man gives all out there. .Its very unfortunate.Kama nilivyotabiri, imekuwa kama kumsukuma mlevi vile. Hii ni mara ya tatu tunamsulubisha LeBron na timu yake. Safari hii sijui watamfukuza nani...Lue au LeeBron!
Now,Its just game 2...Ha ha ha...naona hata watu waliokuwa wamesema wataondoka jukwaani, sasa wamerudi kwa maneno mingi mingi....ni game 1 tu wazee...na tukijadili game 1 objectively...tutaona kwamba the series isn't over literally....
#GoCavs
When Dubs were grinding in the regular season for the home court advantage throughout the playoffs,some folks never took them serious. .They' be like"Wait come play off time".."Regular season means nothing"Dah, sio nashangilia sana, ila Raimundo na Nzi pamoja na waumini wenu...ni nini kitakuwa kisingizio chenu this time around (kama tukiwapiga tena)?
Coz sio kwa such biggest point differential, 48pts,after 2 games. Kweli leo nlitegemea mfanye comeback ka ya mwaka jana angalau hii series inoge, lakini wapi!.
At the end of the day nahofia sana msije mkashindwa (kumbuka nimetumia neno "nahofia" na si "mtashindwa") kwa a sweep (hii naona itakuwa ngumu) au something close to 4-1. Coz mtakuwa mmeondoka na title ya" a failed campaign" kupiga kote zile "fo'fo'fo" af mje kuflop kwa this proportion asee sijui mtasingizia nini this time.
This may be the last home game for the Warriors this Season.......if KLOVE keeps on playing.Do us one favor. This might seems insane coming from me, but please win your home games. I know someone will come with that "be careful what you wish for" line, but for the good old time sake, make this series thrilling to watch.
...LBJ and the Cavs universe are literally running out of excuses and....
Katika kipindi chote nilichomfaham LBJ akiwa Cavs (kabla na baada ya Miami), this time ana watu anaoweza kurely kwao, anaamini shots zao.
Kitu ambacho naendelea kukisisitiza ni kimoja tu, GSW hawatakaa wamfunge Cavs msimu huu kwenye finals, kamwe! Nitajitolea kumlipia mtu upremium membership wa JF ikitokea GSW wakiingia finals na kumfunga Cavs.
Na uzuri wenyewe moja ya vitu vilivyowapa ubingwa mwaka huu havipo (majeruhi ya wapinzani). Mmeifunga Cavs isiyo na KL na KI ambao ni key components wa timu lakini bado hamkubali kwamba mlifunga timu yenye majeruhi.
Ngoja niangalie game ya SAS vs OKC, probably hawa ndo naenda kukutana nao finals.
Honestly. .Jana nilienda Tandika kucheki game ya "Ndondo Cup"..It was far more entertaining than what Cavs have tried to show us in the last two games...[emoji1] [emoji1]On a serious note, mchezo wa GSW ni tofauti sana na mchezo wa CAVs na mimi hili nililiona tangu mwaka jana. Ni kweli GSW inaweza kufungwa lakini hiyo haitaondoa ukweli kuwa Warriors wanacheza mchezo wa akili zaidi kuliko CAVs kwa sababu tukiondoa matumizi ya nguvu nothing is left.
OKC, on the other hand, are a lot better na hasa kwenye defense. Niliona walivyoweza kuwa-contain vijana wadogo wa GSW, haikuwa rahisi kupenya ngome yao. All in all, kama CAVs wanataka kukwepa "sweep" lazima wajitahidi sana kubadilisha namna wanavyocheza na Warriors.
Raimundo, mimi kama shabiki namba moja wa GSW, naomba utimize ahadi yako kwangu tafadhali.Raimundo said:Kitu ambacho naendelea kukisisitiza ni kimoja tu, GSW hawatakaa wamfunge Cavs msimu huu kwenye finals, kamwe! Nitajitolea kumlipia mtu upremium membership wa JF ikitokea GSW wakiingia finals na kumfunga Cavs.
Hahaha, dah ushaniwahi! Asee mbona hawaonekani tena!?Raimundo, mimi kama shabiki namba moja wa GSW, naomba utimize ahadi yako kwangu tafadhali.