Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #3,001
Mwaka 2008 Spurs walivyowafagia hawa hawa Cavs kulikuwa na ushindani mkuu??Nilichoandika hakihusu kushinda timu A au B bali kutokuwepo ushindani ambao wapenzi wa BB tumezoea kuona miaka nenda miaka rudi kwenye NBA Finals.
That is what happens kama Conference moja is weaker than the other.. All-NBA Team yenye wachezaji 15, 11 wanatokea West na East wako wanne pekee ambao ni Andre Drummond, Kyle Lowry, Lebron James na Paul George.. Warriors pekee imetoa wachezaji watatu Curry, Klay and Green, OKC imetoa wawili KD, Russ, Spurs imetoa wawili Kawhi, Aldridge, Clippers imetoa wawili DeAndre and CP3.. Hapo utaona Top 4 ya West pekee imetoa wachezaji 9 kwenye All NBA Team wakati Top Four ya East imetoa wawili tu..
Hapo msimtafute mchawi, mchawi ni huyo East ambako kuna weak teams and weak players ambao wanawapa kichwa mkadhani mna timu nzuri ya kupambana na mshindi atakayetoka West.. Na kama KD atakuja East kwenye timu kama Celtics basi ndoto za Lebron kucheza Finals zingine inaweza ikazimwa..