NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

muda umenitupa mkono.
kutoka hapa Quicken Loans Arena, mjini Cleveland ni mimi Gang Chomba, nawaacheni kwa maripota wenzangu ambao watazidi kuwapa yanayojiri, tathmini na hata habari.

Adios Amigo
 
hasta luego amigo...
muda umenitupa mkono.
kutoka hapa Quicken Loans Arena, mjini Cleveland ni mimi Gang Chomba, nawaacheni kwa maripota wenzangu ambao watazidi kuwapa yanayojiri, tathmini na hata habari.
Adios Amigo
 
After rolling through the Eastern Conference, the Cleveland Cavaliers find themselves in a 2-0 hole and have been outscored by 48 points, the worst deficit through the first 2 games in NBA Finals history.
Duh, pump your brakes, son!. Unatuchanganya na hizi C&Ps mara ni commentary ya game ya leo mara ni article ya jana/juzi which is which? Ila karibu asee.
 
It's time for Cavs Fans to be back here..Welcome back...And please this time, don't disappear. .
 
This Warriors Mentality is just good. Having a bad game and poor shots but able to cut the 20 point lead by the Cavs to 8. The Warriors have put their mind on LeBron which is really working on them making this guy not taking the game.

Good sign for the Cavs. Tristian Thompson is winning them offensive rebounds and making second chance shots. That's stepping up.

I can see there's a reason why Curry as opted not going for Olympic games. He's not himself and Kerr was spotted asking him if he's just ok after Curry lost the ball and went on to being subbed. That knee, Ankle and Elbow one or two must be problematic.
He ain't himself but his presence is still authentic!.
 
Sasa naanza kuona series inakuwa serious. Na hili ni jambo zuri kwa mchezo. Leo tunaonja dawa tuliokuwa tukii'prescribe kwa Cavs just few days ago, and it taste bitter.
Cavs leo nawapongeza, wamecheza vizuri na kurudisha morale yao. Waki'grab na Game 4, hii Series itakuwa na suspense ya kukufanya uwe makini kufuatilia.
Sasa leo em ngoja nimsikie Stephen A. atakachosema coz juzi tu hapa aliwa'write off Cavs.
 
Walau jukwaa lichangamke..Ila bado hawajiamini..
Na hii ndo shida ya mashabiki wa Cavs humu ndani na wale anti-GSW wote. Game zao zikienda poa ndo utawaona mpaka wageni humu ndani. Lakini tukiburuza mtu, tunabaki kuhabarisha tu na kulipa jukwaa uhai.
JIAMININI MAZEE. AFTER ALL THIS IS ALL FUN.
 
Ila I'm concerned about Curry. Mbona leo yuko erratic hivyo?!. Sio fouls, sio turnovers. Look at that meaningless layup drive after the whistle!.
He needs to cool down asee coz naona ka tangu kupoteza shooting mojo yake, anajipresha sana kumake impact

NB: Mtanisaidia tathmini zenu sportsmen wenzangu.
 
Kwa mara ya kwanza hata ile hamu ya kuangalia NBA Finals nimekosa ukilinganisha na NBA Finals za miaka ya nyuma. Inadaiwa GSW kuwafunga CAVS kwa jumla ya 48 points katika michezo miwili ya kwanza imevunja rekodi ya NBA finals. Nadhani hata ratings za 2016 NBA finals zinaweza kuwa the lowest ever.

Vipi Cavs ndio ingekuwa inashinda hivi pia kwako ingekosa msisimko na usingeangalia???
Natumai sasa atarudi..@BAK anakata tamaa mapema timu asiyoipenda ikishinda..
 
Nilichoandika hakihusu kushinda timu A au B bali kutokuwepo ushindani ambao wapenzi wa BB tumezoea kuona miaka nenda miaka rudi kwenye NBA Finals.
7 game series for a reason...Do not judge conclusively yet..
 
Thanks Cleveland Cavaliers you make my day, hapa Johannesburg kabaridi flan amazing.
 
Back
Top Bottom