Haya bibiye..Hizi Finals hazihitaji hasira..see you at G7..Mkuu Tyta ningekosaje sasa mechi kama hii?! Maumivu yote ya OKC yamekwisha leo hahaha
Najua mama la mama!. Ila usituache mda mrefu sana bhana. Uwe hata unakujakuja kutupia mawe mawili matatu hivi!.Nimerudi dogo, hii haikua ya kukosa. Huu mchezo hauhitaji hasira unajua.
Ah na yeye sasa anatutia aibu bhana. Ukipigwa umepigwa tu. Sasa rigged ndo tufungwe game zote mbili mfululizo kwa double digits. Huu u'wacky wa level ya mwisho. Acheni ulimbukeni wa "rigged" "fixed", we ain't a band of angels or superheroes or MARVEL to win all the times for krissake!.
Mimi simoSasa kwani braza nikiwa overconfidence or whatever kuna rules and regulations zinazosema fans wote tufanane tabia?? And do u think that I care?? Hell No.... Mimi nitamlaumu Green kwa kosa alilofanya kwasababu leo alitakiwa arekebishe lile kosa lake.. Na mwenyewe alikiri kwamba Game 5 tumepoteza kwa kuwa yeye hakuwepo, ni sawa... Sasa hii performance ya leo ndio nini kafanya?? Yaani hata Barbosa kacheza vizuri zaidi yake akitokea benchi..
acha uongo wako kubali tu lebron ni king hao wakina stepp carry na dray wanakuzwa tu na vyombo vya habari hawana uwezoSilly mistakes si za kunyamazia.. Siwezi kumlaumu Barnes kwa kutofunga point hata moja leo au kumlaumu Ezeli kwa kucheza ovyo au kulaumu refs au chochote.. Lakini kwa silly mistakes kama zile lazima aambiwe ili huo ujinga aache.. Hajafanya hivyo mara moja ila ile ya kwanza sikuweza kumlaumu sababu ya tension yenyewe ya mchezo tulikuwa tumetangulia. Hii ya juzi tulikuwa tunaongoza points nyingi tu na bado tunaongoza series, hakuhitaji kufanya kile alichofanya.. Lebron was smart alijua akianzisha ugomvi na Dray hata wakipewe Fragrant moja moja, Dray will be banned ila yeye atakuwa free kucheza..
Huyo Ayesha naona Curry kashindwa kumdhibiti sasa....Ah na yeye sasa anatutia aibu bhana. Ukipigwa umepigwa tu. Sasa rigged ndo tufungwe game zote mbili mfululizo kwa double digits. Huu u'wacky wa level ya mwisho. Acheni ulimbukeni wa "rigged" "fixed", we ain't a band of angels or superheroes or MARVEL to win all the times for krissake!.
I'ma true GSW fan but when I hear or see some of my peeps whine and whimp like scared puppies...man...that's break my heart more than the L itself. Ndo maana baadhi yetu tunaitwa bandwagons wakati ni true fans.
acha uongo wako kubali tu lebron ni king hao wakina stepp carry na dray wanakuzwa tu na vyombo vya habari hawana uwezo
Hongereni wapenzi wote wa CAVs, mmeonesha mchezo wa kiwango cha juu sana leo. Nadhani dai la ratings kuwa chini halitasikika tena. Nimeambiwa mchezo wa leo umevunja rekodi kwa watazamaji. Kwa mara ya pili CAVs wameweza kuifunga GSW back to back na bila shaka mchezo wa 7 utakuwa wa aina yake. Nazitakia kila la heri hizi timu mbili na may the better team win!
Back-to-back 40+ points in NBA Finals
#EliteCompany
#TheChosenFew
Je unayo habari kwamba kwa CAVS msimu huu GSW inaongoza 2-0 (89-83 na 132-98)
Swali linalofuatia ni je KI na KL walikuwepo wakati CAVS wanatandikwa mara mbili bila?
Kwa OKC msimu huu GSW inaongoza 3-0 (116-108, 121-118 na 121-106)
Je KD na RW walikuwepo wakati OKC wanatandikwa mara tatu bila?
teh teh teh mi najua hizo ni hasira zako za kubet tu...acha uongo wako kubali tu lebron ni king hao wakina stepp carry na dray wanakuzwa tu na vyombo vya habari hawana uwezo
Na mimi ndio nilimjibu mashabiki hatuwezi kufanana tabia.. We differ on how we perceive things.. Sasa kwa upande wa anti warriors timu yenu ikipigwa wenzako wanakukimbia hapa lakini sijawahi kukuona ukiwalaumu wenzako kwa kukuachia jukwaa mwenyewe..Mkuu karibu tena bana, humu nilibaki peke yangu mpaka nikarusha taulo ulingoni, ila naona tailo lenyewe limegoma kudondoka, linaelea elea kwa juu.
Hawa madogo inabidi tuwakazie game 7, dharau ziishe.