NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

View attachment 357262

Ayesha is Miss Twitter today... hahahahaha sukari ipo juu sana leo huko
Ah na yeye sasa anatutia aibu bhana. Ukipigwa umepigwa tu. Sasa rigged ndo tufungwe game zote mbili mfululizo kwa double digits. Huu u'wacky wa level ya mwisho. Acheni ulimbukeni wa "rigged" "fixed", we ain't a band of angels or superheroes or MARVEL to win all the times for krissake!.
I'ma true GSW fan but when I hear or see some of my peeps whine and whimp like scared puppies...man...that's break my heart more than the L itself. Ndo maana baadhi yetu tunaitwa bandwagons wakati ni true fans.
 
Sasa kwani braza nikiwa overconfidence or whatever kuna rules and regulations zinazosema fans wote tufanane tabia?? And do u think that I care?? Hell No.... Mimi nitamlaumu Green kwa kosa alilofanya kwasababu leo alitakiwa arekebishe lile kosa lake.. Na mwenyewe alikiri kwamba Game 5 tumepoteza kwa kuwa yeye hakuwepo, ni sawa... Sasa hii performance ya leo ndio nini kafanya?? Yaani hata Barbosa kacheza vizuri zaidi yake akitokea benchi..
Mimi simo
 
Silly mistakes si za kunyamazia.. Siwezi kumlaumu Barnes kwa kutofunga point hata moja leo au kumlaumu Ezeli kwa kucheza ovyo au kulaumu refs au chochote.. Lakini kwa silly mistakes kama zile lazima aambiwe ili huo ujinga aache.. Hajafanya hivyo mara moja ila ile ya kwanza sikuweza kumlaumu sababu ya tension yenyewe ya mchezo tulikuwa tumetangulia. Hii ya juzi tulikuwa tunaongoza points nyingi tu na bado tunaongoza series, hakuhitaji kufanya kile alichofanya.. Lebron was smart alijua akianzisha ugomvi na Dray hata wakipewe Fragrant moja moja, Dray will be banned ila yeye atakuwa free kucheza..
acha uongo wako kubali tu lebron ni king hao wakina stepp carry na dray wanakuzwa tu na vyombo vya habari hawana uwezo
 
Ah na yeye sasa anatutia aibu bhana. Ukipigwa umepigwa tu. Sasa rigged ndo tufungwe game zote mbili mfululizo kwa double digits. Huu u'wacky wa level ya mwisho. Acheni ulimbukeni wa "rigged" "fixed", we ain't a band of angels or superheroes or MARVEL to win all the times for krissake!.
I'ma true GSW fan but when I hear or see some of my peeps whine and whimp like scared puppies...man...that's break my heart more than the L itself. Ndo maana baadhi yetu tunaitwa bandwagons wakati ni true fans.
Huyo Ayesha naona Curry kashindwa kumdhibiti sasa....
 
I'm totally disappointed with what is goin' on.[emoji17]

The dubs were supposed it to finish it as soon as possible but whyyyyy[emoji17]

There is part in my heart of loosing hope .I'm dispared.

I don't know whether we gonna win the next game or not coz nothing assuring us for it .

Anyway #strengthinginnumbers[emoji123]
 
le bron ni number 1 draft pick straight from high school... u king amepewa toka utotoni kwa kiwango chake..

hakuhitaji college experience wala nini na bado ndio jembe la uhakika

hao watoto wacheza netball wanaotegemea 3s huwez wafananisha na king james...

ni media tu zinawakuza

acha uongo wako kubali tu lebron ni king hao wakina stepp carry na dray wanakuzwa tu na vyombo vya habari hawana uwezo
 
Bron, the Finals' MVP...he leads in everything
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    18.1 KB · Views: 26
Ha ha ha...ukishinda bana...ni kutamba tu..
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    83.7 KB · Views: 30
  • image.jpeg
    image.jpeg
    69.9 KB · Views: 27
Raimundo I can Imagine the moment you are in right now. .Congrats and see you G7.

I had the belief that we win game 6, but game 7 is yours man.

I threw my towel on the court, looks like it has not hit the floor yet.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni wapenzi wote wa CAVs, mmeonesha mchezo wa kiwango cha juu sana leo. Nadhani dai la ratings kuwa chini halitasikika tena. Nimeambiwa mchezo wa leo umevunja rekodi kwa watazamaji. Kwa mara ya pili CAVs wameweza kuifunga GSW back to back na bila shaka mchezo wa 7 utakuwa wa aina yake. Nazitakia kila la heri hizi timu mbili na may the better team win!

Mkuu nakumbuka ulishaaga kabisa humu, ukasema tutakutana seasona ijayo, anyway mimi nilisharusha taulo ulingoni. Nilishawapa ushindi tokea tulivyokuwa 3-1, ila nilisema mtashinda game ya 7 huko kwenu siyo huku kwetu.

Hapa naona kama taulo bado halijadondoka chini, linaelea elea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Je unayo habari kwamba kwa CAVS msimu huu GSW inaongoza 2-0 (89-83 na 132-98)
Swali linalofuatia ni je KI na KL walikuwepo wakati CAVS wanatandikwa mara mbili bila?

Kwa OKC msimu huu GSW inaongoza 3-0 (116-108, 121-118 na 121-106)
Je KD na RW walikuwepo wakati OKC wanatandikwa mara tatu bila?

Mkuu bado tuko pamoja, tunasubiri game 7.

Mnaweza kushinda lakini lazima mfanye kazi kweli kweli.
 
Mkuu karibu tena bana, humu nilibaki peke yangu mpaka nikarusha taulo ulingoni, ila naona tailo lenyewe limegoma kudondoka, linaelea elea kwa juu.

Hawa madogo inabidi tuwakazie game 7, dharau ziishe.
Na mimi ndio nilimjibu mashabiki hatuwezi kufanana tabia.. We differ on how we perceive things.. Sasa kwa upande wa anti warriors timu yenu ikipigwa wenzako wanakukimbia hapa lakini sijawahi kukuona ukiwalaumu wenzako kwa kukuachia jukwaa mwenyewe..
 
Back
Top Bottom