Na mimi ndio nilimjibu mashabiki hatuwezi kufanana tabia.. We differ on how we perceive things.. Sasa kwa upande wa anti warriors timu yenu ikipigwa wenzako wanakukimbia hapa lakini sijawahi kukuona ukiwalaumu wenzako kwa kukuachia jukwaa mwenyewe..
Ametoa Assist ngapi ambazo wenzake walishindwa kufunga?? Mfumo wa timu ya Warriors si PG ndio analazimishwa kutoa assist, Mtu aliyezoeleka kwa hayo majukumu ni Green nae alitoa assist 3 tu nadhani wakati ana avarage karibia assist 8 kwa game.. Mbona kwenu Kyrie ni PG mzuri ila kwenye Stats za Assist, Steals ni majanga..Sijui kwanini hii ilinipita: yaani PG wa timu anayesemwa kuwa ni one of the best PGs ever, ametoa assist 1 tu kwenye game ambayo timu yake ilikuwa ina nafasi ya kushinda ubingwa!!!
Sijui kwanini hii ilinipita: yaani PG wa timu anayesemwa kuwa ni one of the best PGs ever, ametoa assist 1 tu kwenye game ambayo timu yake ilikuwa ina nafasi ya kushinda ubingwa!!!
Nuff said
#Legendary
Ah na yeye sasa anatutia aibu bhana. Ukipigwa umepigwa tu. Sasa rigged ndo tufungwe game zote mbili mfululizo kwa double digits. Huu u'wacky wa level ya mwisho. Acheni ulimbukeni wa "rigged" "fixed", we ain't a band of angels or superheroes or MARVEL to win all the times for krissake!.
I'ma true GSW fan but when I hear or see some of my peeps whine and whimp like scared puppies...man...that's break my heart more than the L itself. Ndo maana baadhi yetu tunaitwa bandwagons wakati ni true fans.
Yeah...the NBA is rigged [some folks actually believe this.]
It was rigged last year when GSt. won the chip.
It was rigged back to back when her husband won the MVP award.
It was rigged when GSt. came back from a 3-1 hole to win the series vs OKC Thunder.
And it's probably going to get rigged again if GSt. wins the chip on Sunday!
These Twitter fingers man...
Sore loser much?
Imebidi nirudi kwa sababu moja tu nayo ni kuipongeza CAVs kwa kufanya walichokifanya baada ya kuwa nyuma 1-3, wameonesha kuwa si push-over kama tulivyodhani. Mimi kama mwanamichezo nitapongeza inapobidi ingawa moyoni yawezekana naumia. Niko tofauti na Nzi ambaye hakubali hata pale timu yake inapozidiwa kimchezo au wale wanaosema mchezo umekosa msisimko kwa vile tu timu yao inafungwa. Eti GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings, mbona nimependa hiyo!Mkuu nakumbuka ulishaaga kabisa humu, ukasema tutakutana seasona ijayo, anyway mimi nilisharusha taulo ulingoni. Nilishawapa ushindi tokea tulivyokuwa 3-1, ila nilisema mtashinda game ya 7 huko kwenu siyo huku kwetu.
Hapa naona kama taulo bado halijadondoka chini, linaelea elea.
au wale wanaosema mchezo umekosa msisimko kwa vile tu timu yao inafungwa. Eti GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings, mbona nimependa hiyo!
Memory, memory, memory...tuanze na GSW vs OKC. When OKC were leading 3-1 Twitter and other social media exploded including JF! It was claimed ratings shot through the roof!
And now to GSW vs CAVS. When GSW were leading 3-1 Twitter and other social media hit rock bottom! It was even claimed nobody wanted to watch NBA anymore, all interest gone even here in JF!
And then GSW lost game 4 and oh my, NBA suddenly became the talk of town! But all that was nothing till last night, the Internet has gone crazy and it is claimed game 7 will be the mother of all games!
I knew you had no quote to back up your claim. I knew it.
You are just going by inferences and feelings. Which is okay.
Who claimed "nobody wanted to watch NBA anymore"? Any quotes?
Who's claiming that "game 7 will be the mother of all games!"? Can you attach names to those claims?
kunywa maji utulize mzuka aiseeImebidi nirudi kwa sababu moja tu nayo ni kuipongeza CAVs kwa kufanya walichokifanya baada ya kuwa nyuma 1-3, wameonesha kuwa si push-over kama tulivyodhani. Mimi kama mwanamichezo nitapongeza inapobidi ingawa moyoni yawezekana naumia. Niko tofauti na Nzi ambaye hakubali hata pale timu yake inapozidiwa kimchezo au wale wanaosema mchezo umekosa msisimko kwa vile tu timu yao inafungwa. Eti GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings, mbona nimependa hiyo!
hahahaaaaaaaaaa....
And then GSW lost game 4 and oh my, NBA suddenly became the talk of town!!
GSW didn't lose game 4 mzee. Memory, memory, memory...they lost games 3, 5 and 6.
kunywa maji utulize mzuka aisee
I guess it depends on one's level of comprehension...am lucky to be amongst those that are able to read between the lines. Katika kundi la vipofu, mwenye chongo ni mfalme....
Na nadhani kuna mambo huwa anasoma lakini hata haelewi anachosoma.