NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Sijui kwanini hii ilinipita: yaani PG wa timu anayesemwa kuwa ni one of the best PGs ever, ametoa assist 1 tu kwenye game ambayo timu yake ilikuwa ina nafasi ya kushinda ubingwa!!!
 
Na mimi ndio nilimjibu mashabiki hatuwezi kufanana tabia.. We differ on how we perceive things.. Sasa kwa upande wa anti warriors timu yenu ikipigwa wenzako wanakukimbia hapa lakini sijawahi kukuona ukiwalaumu wenzako kwa kukuachia jukwaa mwenyewe..

Kila mara huwa nasema kila mtu ana jinsi yake ya kushabikia, ana sababu zake za kuipenda au kuichukia timu flani nk nk.

Majukumu pia yanasababisha wakati mwingine tupotee humu, lakini maisha yanaendelea. Huu ndo ushabiki wenyewe, mizozo pia ni moja ya ushabiki.
 
Sijui kwanini hii ilinipita: yaani PG wa timu anayesemwa kuwa ni one of the best PGs ever, ametoa assist 1 tu kwenye game ambayo timu yake ilikuwa ina nafasi ya kushinda ubingwa!!!
Ametoa Assist ngapi ambazo wenzake walishindwa kufunga?? Mfumo wa timu ya Warriors si PG ndio analazimishwa kutoa assist, Mtu aliyezoeleka kwa hayo majukumu ni Green nae alitoa assist 3 tu nadhani wakati ana avarage karibia assist 8 kwa game.. Mbona kwenu Kyrie ni PG mzuri ila kwenye Stats za Assist, Steals ni majanga..
 
Sijui kwanini hii ilinipita: yaani PG wa timu anayesemwa kuwa ni one of the best PGs ever, ametoa assist 1 tu kwenye game ambayo timu yake ilikuwa ina nafasi ya kushinda ubingwa!!!

Curry hakufanya vizuri sana Finals za mwaka jana, na za mwaka huu pia sidhani kama atakuwa MVP hata kama timu itashinda.
 
Nuff said
#Legendary
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    88.8 KB · Views: 22
Ah na yeye sasa anatutia aibu bhana. Ukipigwa umepigwa tu. Sasa rigged ndo tufungwe game zote mbili mfululizo kwa double digits. Huu u'wacky wa level ya mwisho. Acheni ulimbukeni wa "rigged" "fixed", we ain't a band of angels or superheroes or MARVEL to win all the times for krissake!.
I'ma true GSW fan but when I hear or see some of my peeps whine and whimp like scared puppies...man...that's break my heart more than the L itself. Ndo maana baadhi yetu tunaitwa bandwagons wakati ni true fans.

Yeah...the NBA is rigged [some folks actually believe this.]

It was rigged last year when GSt. won the chip.

It was rigged back to back when her husband won the MVP award.

It was rigged when GSt. came back from a 3-1 hole to win the series vs OKC Thunder.

And it's probably going to get rigged again if GSt. wins the chip on Sunday!

These Twitter fingers man...

Sore loser much?
 
Ha ha ha, Stephen A. Smith anasema "The man among boys shows up!".
 
Mkuu nakumbuka ulishaaga kabisa humu, ukasema tutakutana seasona ijayo, anyway mimi nilisharusha taulo ulingoni. Nilishawapa ushindi tokea tulivyokuwa 3-1, ila nilisema mtashinda game ya 7 huko kwenu siyo huku kwetu.

Hapa naona kama taulo bado halijadondoka chini, linaelea elea.
Imebidi nirudi kwa sababu moja tu nayo ni kuipongeza CAVs kwa kufanya walichokifanya baada ya kuwa nyuma 1-3, wameonesha kuwa si push-over kama tulivyodhani. Mimi kama mwanamichezo nitapongeza inapobidi ingawa moyoni yawezekana naumia. Niko tofauti na Nzi ambaye hakubali hata pale timu yake inapozidiwa kimchezo au wale wanaosema mchezo umekosa msisimko kwa vile tu timu yao inafungwa. Eti GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings, mbona nimependa hiyo!
 
au wale wanaosema mchezo umekosa msisimko kwa vile tu timu yao inafungwa. Eti GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings, mbona nimependa hiyo!

Nahisi kuna tatizo la kusoma na kuelewa hapo.

Hivi kuna mtu humu aliwahi kusema kuwa ratings zinashuka na kupanda kutegemea na GSt. inavyoshinda au kushindwa?

Unaweza ukanipa nukuu labda ili nijiridhishe juu ya hilo?

Manake kama nakumbuka vizuri, kilichokuwa kinaongelewa kuhusu ratings ni ule ushindani. Kwamba, kama michezo ina ushindani, ushindani huo ndo kigezo kikuu cha mvuto hususan kwa wale casual fans.

Na kwa kadri casual fans watakavyovutika na mchezo, ndo ratings nazo zitapanda.

Na ili casual fans wavutike na kutazama mechi, ni lazima kuwepo na ushindani utakaowavuta watake kutazama.

Anyway, nisiseme mengi sana. Naomba tu nukuu za huyo au hao watu waliodai kuwa "GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings".

Kama huna nukuu, unaweza ukasema tu kuwa wewe ulitafsiri hivyo kile walichokisema.
 
Memory, memory, memory...tuanze na GSW vs OKC. When OKC were leading 3-1 Twitter and other social media exploded including JF! It was claimed ratings shot through the roof!

And now to GSW vs CAVS. When GSW were leading 3-1 Twitter and other social media hit rock bottom! It was even claimed nobody wanted to watch NBA anymore, all interest gone even here in JF!

And then GSW lost game 4 and oh my, NBA suddenly became the talk of town! But all that was nothing till last night, the Internet has gone crazy and it is claimed game 7 will be the mother of all games!
 
Wooooow!

Anybody watching First Take right now?

Welcome to the new age of social media folks.

So earlier in the program Stephen A. was commenting on Ayesha Curry's tweet last night. Talking about how out of pocket she was with her tweets and stuff.

Being that First Take is a ratings magnet [which I don't think it will be after the NBA Finals when Skip leaves], supposedly Ayesha was also watching.

Then she fired back at Stephen A. via Twitter and word got to him. And him being true to form he responded back to her live on-air.

Classic stuff.

I may upload the video clips later on.
 
Memory, memory, memory...tuanze na GSW vs OKC. When OKC were leading 3-1 Twitter and other social media exploded including JF! It was claimed ratings shot through the roof!

I knew you had no quote to back up your claim. I knew it.

You are just going by inferences and feelings. Which is okay.

And now to GSW vs CAVS. When GSW were leading 3-1 Twitter and other social media hit rock bottom! It was even claimed nobody wanted to watch NBA anymore, all interest gone even here in JF!

Who claimed "nobody wanted to watch NBA anymore"? Any quotes?

And then GSW lost game 4 and oh my, NBA suddenly became the talk of town! But all that was nothing till last night, the Internet has gone crazy and it is claimed game 7 will be the mother of all games!

Who's claiming that "game 7 will be the mother of all games!"? Can you attach names to those claims?
 
I knew you had no quote to back up your claim. I knew it.

You are just going by inferences and feelings. Which is okay.

Who claimed "nobody wanted to watch NBA anymore"? Any quotes?

Who's claiming that "game 7 will be the mother of all games!"? Can you attach names to those claims?

hahahaaaaaaaaaa....
 
Imebidi nirudi kwa sababu moja tu nayo ni kuipongeza CAVs kwa kufanya walichokifanya baada ya kuwa nyuma 1-3, wameonesha kuwa si push-over kama tulivyodhani. Mimi kama mwanamichezo nitapongeza inapobidi ingawa moyoni yawezekana naumia. Niko tofauti na Nzi ambaye hakubali hata pale timu yake inapozidiwa kimchezo au wale wanaosema mchezo umekosa msisimko kwa vile tu timu yao inafungwa. Eti GSW ikifungwa the so called ratings inapanda na ikifunga ratings inapungua...kwamba GSW ndio determining factor ya ratings, mbona nimependa hiyo!
kunywa maji utulize mzuka aisee
 
GSW didn't lose game 4 mzee. Memory, memory, memory...they lost games 3, 5 and 6.

Yeah you are right buddy, I meant game 5 and am wow! Looks like something has finally made you crawl out of your hole! Was it the Warriors back to back losses in games 5 and 6? I welcome you back whole-heartedly! That's the spirit (sina kinyongo)
 
kunywa maji utulize mzuka aisee

Thanks be to good old weather, even the Andys are coming out to have a sniff of fresh air! It must have been stifling inside. Well, enjoy it while it lasts...you never know when it will start raining cats and dogs again. Never trust the weather dude!
 
...
Na nadhani kuna mambo huwa anasoma lakini hata haelewi anachosoma.
I guess it depends on one's level of comprehension...am lucky to be amongst those that are able to read between the lines. Katika kundi la vipofu, mwenye chongo ni mfalme.
 
Back
Top Bottom