NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Cleveland also becomes the first NBA team to win the championship wearing soccer uniforms .......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani kwa sababu ya haters ambao hawakuamini kama anaweza kuiongoza Cleveland kushinda dhidi ya the best team ever in regular season ndiyo sababu amelia sana kuliko huko nyuma aliposhinda akiwa na Miami Heat.

Sio siri kwa Mara ya kwanza nampa heshima Lebron James bila kumchukia tena tukimchukia tutakuwa Hater wabaya kurudi 3-1 si mchezo ukitegemea yy ndio kairudisha na Irving jamaa anadunda dah Uncle Drew! ni nomaa. sasa tusubiri MJmemes!
 
Nadhani kwa sababu ya haters ambao hawakuamini kama anaweza kuiongoza Cleveland kushinda dhidi ya the best team ever in regular season ndiyo sababu amelia sana kuliko huko nyuma aliposhinda akiwa na Miami Heat.

Rekodi zilizowekwa msimu huu ni nyingi aisee.

Nadhani pia CAVS ndo timu ya kwanza kubadili kocha mid season na kuja kushinda ubingwa.
 
Nadhani kwa sababu ya haters ambao hawakuamini kama anaweza kuiongoza Cleveland kushinda dhidi ya the best team ever in regular season ndiyo sababu amelia sana kuliko huko nyuma aliposhinda akiwa na Miami Heat.
Yah yale maneno waliokuwa wanamtupia Hasa Klay Thompson ndio ilimchoma sana Lebron na media walivyozidi kumchokonoa alichosema pale ndio Lebron niliacha kumchukia na kumpa heshima sababu 1.alikaa kimya hakujibu wengi wangejibu jeuri ila yeye alitafakari akafikiria hakujibu ujeuri alichosema OK! kazi kaifanya uwanjani. Jamaa kalia amekumbuka watu wanavyomsema na poa Cav Ohio ni mji unabahati mbaya na sports Finals na ukitegemea alipozaliwa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…