NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Obama alikuwa anaangalia game akiwa ndani ya Air Force One.....hahahaaaa USA baby!

Obama stays aboard Air Force One to final minutes of Game 7

ClXIvpYWMAQzfwN.jpg
 
CP3 ndo nani huyo mkuu..?
alafu hilo jina la Derick Rose nalo ni geni kwangu..?
ni wachezaj wa timu gani hao...?
me ni mgeni kidogo katika huu uwanja mkuu
Chris Paul (CP3) mchezaji wa LA clippers, Derrick Rose wa Chicago Bulls na Kyrie Irving wa Cavs mabingwa. Karibu kwenye ulimwengu wa bball
 
Asante sana mkuu...
nimechelewa sana kuufatilia huu mchezo...
kumbe ni mchezo mmoja ambao unaburudani sana..!
 
There is a campaign going on from some of the Republican delegates, and their slogan is "Anybody but Trump" ABT

Hopefully!

Can't imagine that clown in the Oval Office.

But, as we saw tonight, anything can happen.
 
There is a campaign going on from some of the Republican delegates, and their slogan is "Anybody but Trump" ABT

They've been trying to stop him since day one and look where he is now.

Romney even gave a major speech against him and look what happened.

I don't know with him anymore.
 
Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.
 
There is a campaign going on from some of the Republican delegates, and their slogan is "Anybody but Trump" ABT

And speaking of presidential and electoral politics....the GOP will have its convention in Cleveland at the Quicken Loans arena!

upload_2016-6-20_0-22-0.png
 
Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.

Mag3, wale Watoto walikuwa wananifanya niumwe aisee!. Mtu yuko katikati ya uwanja, akijisikia tu kupiga 3 points, anapiga!. Si mchezo nakuambia!.[emoji3][emoji3]
 
Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.
Medal of Honor for Perseverance is only awarded to 'select few'.
 
Back
Top Bottom