NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Hii game ilinifanya nikimbie States kuja kujificha huku kwenye ancient city of Rome!. Now inabidi nirudi kabla ya Parade ya Jumatano... Hahaa, am happy for LBJ and company!.
 
Huwa nasema Irving, CP3 na Derrick Rose wanacheza sexy bball.
tusimtupe Curry sababu amefungwa kajisahai blueprint ya timu kacheza kifamilia yake zaidi kuliko timu hapa mwishoni, Kuna jina limenitoka wa Wizard naye anadunda Wall! wote hao noma PG. ila Westbrook anahasira sana akicheza Kuna Tony Parker. ila Irving kwa sasa balaa katika kuvunja ankles.
 
Mimi nilikuwa nakisema hicho hicho hapa home kwamba watoto wake wana behave vizuri sana. Huyu mdogo wa kike kabebwa lakini katulia tuli.
Good parenting.

They are very well behaved.

Halafu yule mmoja mwenye nywele nyekundu nyekundu wamefanana sana.
 
Mimi hao watatu niliowataja wananikosha zaidi. Irving sio sababu ya game ya Leo au hii final series ni toka zamani
 
Huwa nasema Irving, CP3 na Derrick Rose wanacheza sexy bball.
CP3 ndo nani huyo mkuu..?
alafu hilo jina la Derick Rose nalo ni geni kwangu..?
ni wachezaj wa timu gani hao...?
me ni mgeni kidogo katika huu uwanja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…