Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Chris Paul (CP3) mchezaji wa LA clippers, Derrick Rose wa Chicago Bulls na Kyrie Irving wa Cavs mabingwa. Karibu kwenye ulimwengu wa bballCP3 ndo nani huyo mkuu..?
alafu hilo jina la Derick Rose nalo ni geni kwangu..?
ni wachezaj wa timu gani hao...?
me ni mgeni kidogo katika huu uwanja mkuu
So Trump will host the Cleveland Cavaliers at the White house???..I hope not..
Ha-ha I know rightHahahaaaaaaa watu washaanza!
Jordan should trademark that face....
Let us see and wait..Nope Hillary will host 2016 NBA Championship in WH.
Nope Hillary will host 2016 NBA Championship in WH.
Asante sana mkuu...Chris Paul (CP3) mchezaji wa LA clippers, Derrick Rose wa Chicago Bulls na Kyrie Irving wa Cavs mabingwa. Karibu kwenye ulimwengu wa bball
Hopefully!
Can't imagine that clown in the Oval Office.
But, as we saw tonight, anything can happen.
i hope next season atakua moto wa kuotea mbali..!
There is a campaign going on from some of the Republican delegates, and their slogan is "Anybody but Trump" ABT
There is a campaign going on from some of the Republican delegates, and their slogan is "Anybody but Trump" ABT
Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.
Mag3, wale Watoto walikuwa wananifanya niumwe aisee!. Mtu yuko katikati ya uwanja, akijisikia tu kupiga 3 points, anapiga!. Si mchezo nakuambia!.
Medal of Honor for Perseverance is only awarded to 'select few'.Duh, kwa idadi ya watu wanaojitokeza kwenye hii thread, GS Warriors ilikuwa inawanyima raha watu wengi kweli kweli! Baada ya fainali ya NBA 2014/15 wapo watu hawakuonekana tena humu hadi leo! Sisi wanamichezo tupo tu, hatuondoki na timu inayocheza vizuri tunaipongeza bila kutafuta vijisababu visivyo na kichwa wala miguu. Cleveland Cavaliers wamecheza vizuri na wameutwaa ubingwa na kama kawaida tunawapa pongezi nyingi bila kinyongo.
Steph Curry ni mchawi hakyanani!
Hahahaaa.....
Sijawahi kuona sniper kama yeye kwenye NBA.
Unkafenbelievable....#History