NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Also they say Cavs ddnt deserve it ,, they earned it ....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
M ningekuaa free leo ningetembelea makao ya Cleveland Cavaliers cz am so happy. Hapa Johannesburg kuna fans wa Cleveland wameenda state.
 
Huu kweli ni mwaka wa "stunning and heart-rending defeats". Kila sport unakuta defeat ambayo hakuna aliyetegemea. My fellow decathlonians ka kina Nyani Ngabu, Tyta na Alegria do povo wanaweza wakanisindikiza kwenye hili. Sio UFC, sio NBA, sio La Liga, sio NFL, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…