Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki...ndo nini sasa kuongeza chumvi kwenye kidonda cha 73-9?😀😀😀😀
Flashbacks
Hahahaaaa! Watu wana maneno! Lakini ni kweli. A Ring ingekuwa ni icing on the cake.They say 73-9 is nothing without Ring...sio mimi, ni wao wenyewe huko
Sio EPL... Leicester umewasahau..Huu kweli ni mwaka wa "stunning and heart-rending defeats". Kila sport unakuta defeat ambayo hakuna aliyetegemea. My fellow decathlonians ka kina Nyani Ngabu, Tyta na Alegria do povo wanaweza wakanisindikiza kwenye hili. Sio UFC, sio NBA, sio La Liga, sio NFL, etc.
Hahaha yaani kila kona, sio boxing ambapo 11-years reign ya Wladimir Klitchsko ilistopiwa na Fury!.Sio EPL... Leicester umewasahau..