NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Kuna mawili hapa,either KD was involved in one way or another,or he totally disapproves with this trade(he is very 'tight' with the Congolese).

Ila the Congolese kiwango kimeshuka sana, hasa hasa for the past 2 seasons.

Natamani KD abaki OKC.
 
Ila the Congolese kiwango kimeshuka sana, hasa hasa for the past 2 seasons.

..hakika..japo unaweza mtetea maana alichezeshwa nafasi mbalimbali sana...

Natamani KD abaki OKC.
I agree with you but for a different reason..
Najua unataka abaki kwa kuwa kuna tetesi za GSW wanamnyemelea...Mimi ningependa abaki just for competition factors.,na lile suala la kutoka mbali na OKC,awe mvumilivu tu,someday atapata atakachopata palepale..
 

No siyo kwa sababu ya tetesi za yeye kwenda GSW, unajua kwa misimu kama 3 nyuma OKC hawakuwahi kuwa vizuri kiafya kama msimu huu kwenye playoffs mpaka tukawa tumewasahau kabisa, kitu walichikifanya mwaka huu kimetukumbusha kwamba jamaa ni moja ya timu kali sana kwenye ligi.

Ukija kumwondoa KD utarudisha nyuma sana competition hii tuliyoiona, hakuna mtu anataka kuona timu moja tu inadominate ligi, kama ilivyo Cavs kwa East (inachosha)
 
mara ya mwisho nadhani alikuwa NBA-D LEAGUE....Ni ligi ndogo washirika wa NBA

Yuko kitaa, walikuwa ni Grand Rapid Force kama sijakosea, walishaachana naye toka May 2015.
 
teh teh teh jamaa hua namwona kama juha flani anavyohangaikaga humu JamiiForums and picking the fights..
 
OKC bado ni washindani,ALL THE GREATONES walishapitia haya,isipokuwa Bill Russell..
Ukija kumwondoa KD utarudisha nyuma sana competition hii tuliyoiona, hakuna mtu anataka kuona timu moja tu inadominate ligi, kama ilivyo Cavs kwa East (inachosha)
..kuna kipindi cha mwishoni mwa miaka ya tisini,nilikuwa nikipenda kuifuatilia ligi kuu seria A sababu mwanzo wa ligi kuna timu kali kama saba hivi zinapewa nafasi ya kutwaa ubingwa..timu kama Parma,Lazio,Fiorentina yaani zalikuwa zinaipa challenge ya kutosha Juve,Ac Milan, Inter na Roma....tofauti na sasa..na hii ndiyo halihalisi upande wa Ukanda wa Mashariki...Anyway,subiri tufuatilie Hili dirisha la Usajili linavyoenda...
 

Sure ngoja tuone inakuwaje.
 
Kama wamemtrade Ibaka aisee KD hawezi kuondoka tena... OKC itakuwa motooo kudadeki..

Ila chochote kinaweza kutokea, hata baada ya Houston kumtrade Ty Lawson tulidhani watakuwa moto ila ikageuka kuwa disappointment..
 
..tuache hayo,lets deal with relevant issues,....sijapata mtazamo wako kuhusu hii draft pick ya GSW Damian Jones,nini hatma ya bigs waliopo esp, Ezelli,Speights na Bogut
cc:
King Shaat,Mag3,@Alegria do povo ,@Watu8
Speights is very inconsistent, sina tatizo akiondoka.. As per last season I could keep Ezeli and let Bogut go lakini kwa msimu huu huyu Mnaijeria ameniangusha sana.. Bogut kapiga kazi sana hii postseason, kukosekana kwake game 3 za mwisho imekuwa threat iliyosababisha tuchoke pia.. Tumchukue Damian, tuwaache Ezeli na Speights, tumpe play time ya kutosha Kevin Looney..
 
Nimeona hiyo.... I think Bob Myers amegundua kuwa kwanza Speights is inconsistent and he's reliable when he has a go on offense but not his defense.

Ezelli has to have a good game to be pivotal on offense and he's minimal when defending.

The only masterpiece on defense is Bogut but his health has been questionable.

So with many teams seemingly to have got the antidote to the death lineup due to Barnes being unproductive (to me this is the reason the small lineup was lost in many times) Warriors need a man to dominate the paint. The man who can scare the hell out of any player who needs to get to the basket.
 

Very objective reasoning.
 
Pia jamaa wa Bleachreport wametoa tetesi nyingine za KD kwenda New York Knicks kwa Melo, maana jamaa wamemtrade in Rose...

 
I hope K.Looney is all set to go...Sometimes nawaza yasije yakamtokea kama ya Joel Embiid..Huyu jamaa kama si sophomore basi NI veteran ambaye bado hajagusa court ya NBA...
 
Pia jamaa wa Bleachreport wametoa tetesi nyingine za KD kwenda New York Knicks kwa Melo, maana jamaa wamemtrade in Rose...

Melo, Rose na KD!

Itakuwa moto sana, changamoto kubwa itakuwa ni nani wa kumwachia mwenzake mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…