Dah! Chief, wewe ndiyo hujajiona na prejudice siyo? Maana licha ya kushinda series na championship, lakini Warriors walipigwa na Cavs katika game 2 nyumbani kwao LBJ akipiga triple doubles, na kisha kushinda game 3 Ohio. Hivyo inawezekana Warriors kufungwa, inawezekana. Maana ulivyoongea ni kama vile Warriors waliwa-sweep Cavs kwa 4-0, it was 4-2. That meant Warriors were beaten twice: once at home and the other one away. Sasa kwanini nisiseme kuwa Cavs watawapa kipigo tarehe 19? Where is my prejudice? And why can't see yours?!