Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Huyo jamaa hapo juu hajui Curry kaweka record ya most 3's in a single season kwa miaka miwili mfululizo na mwaka huu yuko kwenye race ya kuvunja aliyoiweka kwa zaidi ya 100 3's...
Sasa inadhiirisha umeanza kufuatilia NBA mwaka jana. Weka hapa kuonyesha Curry ana hiyo rekodi kwa miaka miwili mfululizo. Ni kweli Curry alivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Ray Allen: msimu wa mwaka jana Curry alikuwa na 272 3-point successful shootings na kuvunja rekodi ya Ray, ya 269 3-point shootings katika msimu mmoja. Msimu huu bado haujaisha, ingawa Curry anaongoza hadi sasa kwenye regular season (anafunga mara 154 katika attempts 348).
Aiseee kuna watu vichaa huku duniani...
Ndiyo tatizo la washabiki wenye mihemuko. Uwa mara nyingi hawana ustaarabu katika kuandika ama kuzungumza. Hivyo, wala sishangii hiyo lugha ya kuniita kichaa.
Yani anamfananisha Jamal na Jason Kidd na Stephen Curry hahahahahahaha...
Ndiyo. Katika 3-point shooting, hadi sasa hao wamefunga zaidi ya Curry. Nina haki kabisa ya kuwalinganisha, kwa sababu wote hao wana rekodi nzuri katika 3-point shooting.
Jamaa alicopy wapi sijui post ya 2013 huko.... Aibuuu sana
Kwa ustaarabu kabisa, nimekuomba u-prove kama nime-copy nilichokiandika. Hakuna haja ya kuendelea kuongea kwa maneno tu. Prove that. And I bet you if you will prove that I have copied what I wrote, I WILL GIVE YOU 500 USD (nitamtumia Maxence-JF founder cc: Maxence Melo). Wewe wala usiweke hata senti.