NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Huyo jamaa hapo juu hajui Curry kaweka record ya most 3's in a single season kwa miaka miwili mfululizo na mwaka huu yuko kwenye race ya kuvunja aliyoiweka kwa zaidi ya 100 3's...

Sasa inadhiirisha umeanza kufuatilia NBA mwaka jana. Weka hapa kuonyesha Curry ana hiyo rekodi kwa miaka miwili mfululizo. Ni kweli Curry alivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Ray Allen: msimu wa mwaka jana Curry alikuwa na 272 3-point successful shootings na kuvunja rekodi ya Ray, ya 269 3-point shootings katika msimu mmoja. Msimu huu bado haujaisha, ingawa Curry anaongoza hadi sasa kwenye regular season (anafunga mara 154 katika attempts 348).

Aiseee kuna watu vichaa huku duniani...

Ndiyo tatizo la washabiki wenye mihemuko. Uwa mara nyingi hawana ustaarabu katika kuandika ama kuzungumza. Hivyo, wala sishangii hiyo lugha ya kuniita kichaa.

Yani anamfananisha Jamal na Jason Kidd na Stephen Curry hahahahahahaha...

Ndiyo. Katika 3-point shooting, hadi sasa hao wamefunga zaidi ya Curry. Nina haki kabisa ya kuwalinganisha, kwa sababu wote hao wana rekodi nzuri katika 3-point shooting.

Jamaa alicopy wapi sijui post ya 2013 huko.... Aibuuu sana

Kwa ustaarabu kabisa, nimekuomba u-prove kama nime-copy nilichokiandika. Hakuna haja ya kuendelea kuongea kwa maneno tu. Prove that. And I bet you if you will prove that I have copied what I wrote, I WILL GIVE YOU 500 USD (nitamtumia Maxence-JF founder cc: Maxence Melo). Wewe wala usiweke hata senti.
 
Wewe bwana nimekwambia kazi yako ni kucopy na kupaste post zilizopostiwa na wenzako mwaka 2013 huko teh teh teh...

For the record, Curry hana hizo 3 pointers 845 unazosema, anazo 1345... Uko miaka mitatu nyuma ndugu...

But, still he is lagging behind the fellas, isn't he?

Haya endelea na kazi ya kucopy na kupaste...

Chifu, kwanini maneno tu. Nimeweka 500 USD mezani. Wewe usiweke chochote. Prove kwamba nime-copy na kupaste.
 
Sasa inadhiirisha umeanza kufuatilia NBA mwaka jana. Weka hapa kuonyesha Curry ana hiyo rekodi kwa miaka miwili mfululizo. Ni kweli Curry alivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Ray Allen: msimu wa mwaka jana Curry alikuwa na 272 3-point successful shootings na kuvunja rekodi ya Ray, ya 269 3-point shootings katika msimu mmoja. Msimu huu bado haujaisha, ingawa Curry anaongoza hadi sasa kwenye regular season (anafunga mara 154 katika attempts 348).

Ndiyo tatizo la washabiki wenye mihemuko. Uwa mara nyingi hawana ustaarabu katika kuandika ama kuzungumza. Hivyo, wala sishangii hiyo lugha ya kuniita kichaa.

Ndiyo. Katika 3-point shooting, hadi sasa hao wamefunga zaidi ya Curry. Nina haki kabisa ya kuwalinganisha, kwa sababu wote hao wana rekodi nzuri katika 3-point shooting.

Kwa ustaarabu kabisa, nimekuomba u-prove kama nime-copy nilichokiandika. Hakuna haja ya kuendelea kuongea kwa maneno tu. Prove that. And I bet you if you will prove that I have copied what I wrote, I WILL GIVE YOU 500 USD (nitamtumia Maxence-JF founder cc: Invisible Maxence Melo). Wewe wala usiweke hata senti.
Jamaa naona unaishi uko mwaka 2013 leo teh teh teh

Kwakukusaidia tu Curry kapiga 261 3's msimu 2013/14 na akawema record ya most 3 pointers in a single season..

Akaja kuivunja mwenyewe kwa kupiga 286 msimu 2014/15... Na sasa hata nusu ya mechi bado kashapiga 154 tayari..

Jamaa unaishi dunia ambayo bado uko mwaka 2013 aiseee... Yani unataka Curry aliyecheza misimu 7 tu mpaka sasa awafikie watu waliocheza zaidi ya misimu 11?? teh teh teh jamaa hebu lala tu usije kuendelea kujihaibisha hapa..
 
But, still he is lagging behind the fellas, isn't he?

Chifu, kwanini maneno tu. Nimeweka 500 USD mezani. Wewe usiweke chochote. Prove kwamba nime-copy na kupaste.
Mkuu siwezi kuhangaika na dolari zako aisee maana siko kwenye mashindano..

They say no research no right to speak.. Sasa wewe hizo 3's mia nane na kitu ulizitolea wapi?? Ndio maana nikakwambia uko mwaka 2013 maana hizo alizifikisha msimu huo...

Unasema behind them, yes he is... cuz he only has 7 seasons and those dudes are over 12 seasons.. If he keeps on that race for another 5 or 6 seasons watu wanaongelea aweke record yake na si kufikia ya fulani au fulani...
 
It's saddening how people try hard to shut eyes at such a bright light amid the darkness.

I for one, believe that... They didn't nickname Steph "Baby-faced Assassin" for no reason. The boy proved, and still can, hold a candle to LBJ, KD, RW... and the list goes on!. LBJ once proclaimed himself "the best player in the world". But the thing I like about that proclamation is that he didn't forget to put/say "right now" which ain't applicable/should I say that much "undisputed" RIGHT NOW since it was right Then.

Right now... Haha, Steph is the NBA poster boy. He's what the kids look upon when they are training hard on their 3s. Till one analyst (can't remember his name) said "Steph is hurting the game".

I ain't heaping flashes on the silver, but that's just it. And don't worry, those 900...give the boy some time, and you'll be looking at em through the rear-view mirror!.

LBJ is all rounder. Curry isn't, is he? What LBJ can do, Curry can't even attempt to do it. But, what Curry can do (shooting them 3 points) LBJ can also do that, taking into consideration you his playing position and body physique.
 
Curry has 51% Points on paint... LBJ ana ngapi mkuu sana??
 
I thought so. You have no guts mazee. Talking and running like a bitch...
Curry has 800 3 pointers zahahahahahahahahahhahaha...

Hii mambo ya C&P itaua watu... watu wanaishi mwaka 2013 leo zahahahahahaha
 
Chief, if you are man enough, I beg you (for the last time) to prove that I have copied and pasted.
Otherwise, I ask Invisible to charge you for defamation.
Sasa Chief hizo 800 three pointers ulitoa wapi kama sio kucopy post za 2013???

Teh teh teh teh teh mkiwa mnacopy muwe mnaangalia na miaka aisee..

Curry ana 1300's huko.. Yaani ni zaidi ya 500 3's ya ulizosema.. huko sio kukosea bali ni kucopy post zilizopitwa na wakati...

Mkuu kubaliana na matokeo kwamba unaishi dunia ya mwaka juzi leo... Curry has nothing much to prove that he's the best.. He just needs three or four more rings to be considered in the same league na akina Kobe na Jordan na sio huyo ambaye ni 2-5 on finals..

Yaani Lebron with his 12 seasons and 5 finals appearances, he has 1 more ring then Curry who has 7 seasons (mind u he is about to tire this season), and probably 2 more MVP's (maana Curry anachukua tena msimu huu)... Na kama una Ignore kuchukua ring sio sababu ya mchezaji kuwa considered as great jiulize KD, Westbrook, Carmelo, Criss Paul, Harden wana ring??

Mwisho naomba tuangalie Hawks na Chicago sasahivi... It's a good game..
 
Sasa Chief hizo 800 three pointers ulitoa wapi kama sio kucopy post za 2013??? Teh teh teh teh teh mkiwa mnacopy muwe mnaangalia na miaka aisee..

Chief, na wewe ulivyosema Curry ana 3-points 261 katika msimu wa mwaka 2013/2014 ulicopy mahala? Maana katika records hapa NBA Individual Regular Season Records for 3-Point Field Goals | Basketball-Reference.com inaonyesha Curry aliongoza katika msimu wa 2012/13 kwa kuwa na 3-points 272 na 2014/15 kwa kuwa nazo 286. Hizo 261 zimetoka wapi mpaka uziweke kwenye rekodi? Kama nilivyosema huwezi kutumia 3-points 261 wakati Ray alikuwa na rekodi ya 269.

Ninachotaka kusema ni kwamba, unaweza kusoma taarifa katika source iliyo outdated. Lakini hiyo haimaanishi ni kufanya copying and pasting. Maana unavyosema nime copy na paste ni kama vile nilivyoandika nimevibeba kutoka sehemu na kuviweka hapa. Nilichoandika niliandika kutoka katika mawazo yangu na kwa msaada wa vyanzo vya mtandao. Jambo ambalo si la ajabu leo haswa unavyotaka kufahamu rekodi mbalimbali.

Lakini licha hivyo, bado hoja yangu ya msingi haijabadilika. Curry bado siyo the best 3-pointer kama tukizingatia rekodi. Ndiyo, nilisema kwamba ana potential ya kuwa the best 3-pointer endapo atapita rekodi ya Ray Allen. Kwa hiyo kwa kuzingatia rekodi iliyopo hadi sasa, Ray Allen ndiye the best 3-pointer in the NBA history.

Sasa ungekuwa ni mtu uliye mstaarabu ama mature (kwa unavyo-argue na kuandika, nina uhakika wewe bado hata miaka 30 hujafika) ungeweza kuelewa msingi wa hoja yangu. Badala ya kuanza kuniita mimi kichaa na maneno mengine mbofu mbofu.

Curry ana 1300's huko.. Yaani ni zaidi ya 500 3's ya ulizosema.. huko sio kukosea bali ni kucopy post zilizopitwa na wakati...

Hapa ndipo ninakuomba u-prove hilo. Kukosea stats moja haina maana nime-copy post nzima kutoka sehemu fulani. Nimekuwa mstaarabu sana kukuomba u-prove hilo. Lakini hadi sasa hujafanya zaidi ya kuendelea kurudia maneno yale yale. Nimekubali kuwa takwimu za Curry nilizokuwa nazo zilikuwa outdated. Lakini haimaanishi post nzima nime-copy kutoka sehemu. Kama ni muungwana na mwanamichezo, unapaswa ku-prove ama uniombe radhi.

Curry has nothing much to prove that he's the best..

He is the best based on what? Argue like a man by bringing facts and stats to show he is the best.

He just needs three or four more rings to be considered in the same league na akina Kobe na Jordan na sio huyo ambaye ni 2-5 on finals..

He has been on the league since 2009. What did he do to help the team before last season? Kobe, LBJ na MJ since day one proved to be special. The dude has been silent (not helping his team to even reach a conference final) for over 4 years. All over sudden (last season), now he is the best?! Where has been before to show that he is the best (winning titles and MVPs)? He wasn't even on the All-Star teams until two seasons ago! Kobe has 17 All-Star game appearances, LBJ has 11, MJ had 14. Curry has only 1 All-NBA first team appearance. LBJ has 9. Kobe has 11. And MJ has 10.

To become the best you have to be consistent. The dude is 27 years old now. LBJ, Kobe and MJ have been doing BIG since when they were teenagers; since the start of their NBA careers, they have been on fire. LBJ is 31 now, but still consistently doing BIG. Kobe is 37, and he retires at the end of the season. It is the consistency that makes Kobe, LBJ and MJ the greatest. I'm not even counting other records that these greats have.

By the way, saying is much easier. Tuombee uzima ili tuone akipata hizo three or more four rings, ambazo alishindwa kuzipata toka mwaka 2009.

Yaani Lebron with his 12 seasons and 5 finals appearances, he has 1 more ring then Curry who has 7 seasons (mind u he is about to tire this season),

Did you intend to say LBJ is about to retire this season? Seriously? LBJ is 31 years old; with his fitness he still has 5 seasons to play.

Oh! So Curry with 7 seasons and 1 final appearance makes him special, uh? Mathematically, it will take him 14 seasons to have 2 final appearance, if he has 1 final appearance after 7 seasons.

and probably 2 more MVP's (maana Curry anachukua tena msimu huu)...

The season is still going on...even if he takes it this season, so what? Does it make him the best? Over who? LBJ has 4 regular season MVP and 2 finals MVP; MJ has 5 regular season MVP and 6 finals MVP; and Kobe has 1 regular season MVP and 2 finals MVP. How many finals MVP does Curry have to even be compared with the greats? I didn't even count the All-Star game MVP that these greats have on their pockets.

Na kama una Ignore kuchukua ring sio sababu ya mchezaji kuwa considered as great jiulize KD, Westbrook, Carmelo, Criss Paul, Harden wana ring??

Wapi nime-ignore kuchukua ring na kusema siyo sababu ya mchezaji kuwa considered the great? I know that. And I definitely, see you don't know. That's why you wondered me comparing Curry with Bird (3 rings) and Kerr (5 rings) hata kwa 3-point shooting records. But, one thing for sure, greatest players have to do more than just winning rings as a team. They have to produce individual brilliance consistently over the time. And with such brilliance help their teams win championships.
 
Last edited:

Chief, na wewe ulivyosema Curry ana 3-points 261 katika msimu wa mwaka 2013/2014 ulicopy mahala? Maana katika records hapa NBA Individual Regular Season Records for 3-Point Field Goals | Basketball-Reference.com inaonyesha Curry aliongoza katika msimu wa 2012/13 kwa kuwa na 3-points 272 na 2014/15 kwa kuwa nazo 286. Hizo 261 zimetoka wapi mpaka uziweke kwenye rekodi? Kama nilivyosema huwezi kutumia 3-points 261 wakati Ray alikuwa na rekodi ya 269.

Ninachotaka kusema ni kwamba, unaweza kusoma taarifa katika source iliyo outdated. Lakini hiyo haimaanishi ni kufanya copying and pasting. Maana unavyosema nime copy na paste ni kama vile nilivyoandika nimevibeba kutoka sehemu na kuviweka hapa. Nilichoandika niliandika kutoka katika mawazo yangu na kwa msaada wa vyanzo vya mtandao. Jambo ambalo si la ajabu leo haswa unavyotaka kufahamu rekodi mbalimbali.

Lakini licha hivyo, bado hoja yangu ya msingi haijabadilika. Curry bado siyo the best 3-pointer kama tukizingatia rekodi. Ndiyo, nilisema kwamba ana potential ya kuwa the best 3-pointer endapo atapita rekodi ya Ray Allen. Kwa hiyo kwa kuzingatia rekodi iliyopo hadi sasa, Ray Allen ndiye the best 3-pointer in the NBA history.

Sasa ungekuwa ni mtu uliye mstaarabu ama mature (kwa unavyo-argue na kuandika, nina uhakika wewe bado hata miaka 30 hujafika) ungeweza kuelewa msingi wa hoja yangu. Badala ya kuanza kuniita mimi kichaa na maneno mengine mbofu mbofu.

Hapa ndipo ninakuomba u-prove hilo. Kukosea stats moja haina maana nime-copy post nzima kutoka sehemu fulani. Nimekuwa mstaarabu sana kukuomba u-prove hilo. Lakini hadi sasa hujafanya zaidi ya kuendelea kurudia maneno yale yale. Nimekubali kuwa takwimu za Curry nilizokuwa nazo zilikuwa outdated. Lakini haimaanishi post nzima nime-copy kutoka sehemu. Kama ni muungwana na mwanamichezo, unapaswa ku-prove ama uniombe radhi.

He is the best based on what? Argue like a man by bringing facts and stats to show he is the best.

He has been on the league since 2009. What did he do to help the team before last season? Kobe, LBJ na MJ since day one proved to be special. The dude has been silent (not helping his team to even reach a conference final) for over 4 years. All over sudden (last season), now he is the best?! Where has been before to show that he is the best (winning titles and MVPs)? He wasn't even on the All-Star teams until two seasons ago! Kobe has 17 All-Star game appearances, LBJ has 11, MJ had 14. Curry has only 1 All-NBA first team appearance. LBJ has 9. Kobe has 11. And MJ has 10.

To become the best you have to be consistent. The dude is 27 years old now. LBJ, Kobe and MJ have been doing BIG since when they were teenagers; since the start of their NBA careers, they have been on fire. LBJ is 31 now, but still consistently doing BIG. Kobe is 37, and he retires at the end of the season. It is the consistency that makes Kobe, LBJ and MJ the greatest. I'm not even counting other records that these greats have.

By the way, saying is much easier. Tuombee uzima ili tuone akipata hizo three or more four rings, ambazo alishindwa kuzipata toka mwaka 2009.

Did you intend to say LBJ is about to retire this season? Seriously? LBJ is 31 years old; with his fitness he still has 5 seasons to play.

Oh! So Curry with 7 seasons and 1 final appearance makes him special, uh? Mathematically, it will take him 14 seasons to have 2 final appearance, if he has 1 final appearance after 7 seasons.

The season is still going on...even if he takes it this season, so what? Does it make him the best? Over who? LBJ has 4 regular season MVP and 2 finals MVP; MJ has 5 regular season MVP and 6 finals MVP; and Kobe has 1 regular season MVP and 2 finals MVP. How many finals MVP does Curry have to even be compared with the greats? I didn't even count the All-Star game MVP that these greats have on their pockets.

Wapi nime-ignore kuchukua ring na kusema siyo sababu ya mchezaji kuwa considered the great? I know that. And I definitely, see you don't know. That's why you wondered me comparing Curry with Bird (3 rings) and Kerr (5 rings) hata kwa 3-point shooting records. But, one thing for sure, greatest players have to do more than just winning rings as a team. They have to produce individual brilliance consistently over the time. And with such brilliance help their teams win championships.
Mkuu umeandika mno mpaka nashindwa kumaliza kusoma...

Naona unamshambulia Curry tu, aya How many years Lebron took to win his first ring??

4 out of 5 Lebron's finals alikuwa na akina Wade at their Prime, I think unajua Wade is future HOF..

Nasubiri Lebron achukue another Ring at Cavs... Kwa expirience ile Miami team ya Lebron huwezi kuifananisha na hii GSW ya Curry..

GSW is a good team lakini pundits walitabiri pamoja na uzuri wao hawataweza fika mbali kwenye play offs sababu ya experience.. They proved them wrong.. Wakasema opponents were not healthy, they are now having the best season mpaka inafananishwa na Bulls ya 95-96.. Nikuulize sababu ni kwanini?? It's effect of Curry...

Alafu unasema Curry alikuwa wapi on his past 5 seasons hehehehe, aiseee unachekesha sana... Nimekwambia kuna players wazuri lakini hawana ring mpaka leo, tell me isn't KD great?? hatuambiwi CP3 is one of the best Point Guards ever?? Mbona hao mpaka leo hawana rings lakini unakimbilia kumtusi Curry ambaye tayari anayo.. FYI, on last 5 seasons Curry hakuwahi kucheza all season akiwa healthy, I can take that as an excuse kwanini he has 1 ring after 6 seasons...

About 3 Pointers.. The leader Ray Allen amecheza 19 seasons.. Rigger Miller kacheza 17 seasons na JT nae kacheza 17 seasons.. Curry huu ni msimu wake wa 7 sasa.. Tufanye this season atamaliza na 1450 three pointers alafu acheze another 9 seasons avaraging 160 (Mind u Curry scored 200+ mfululizo misimu mitatu iliyopita na huu utakuwa wa nne) a season that will take him to 2890 3's which is 97 less to Ray Allen akiwa pia na pungufu ya misimu mitatu kwa Allen... And Ray Allen ni avaraging .400 from three while Curry is .441... Hao akina Jamal ndio uchafu kabisa kwa Curry maana amecheza 15 seasons avaraging .338 and just 500 3's from Curry... Na hata Bird na Kerr alishawaacha siku nyingi.. Larry is avaraging .376 from three while Kerr is .457.... Sasa anaposema eti Curry hajafika hata record ya Lary Bird kwa 3's unanichekesha tu... Mwisho nitafutie kati ya wote hao uliowataja ambao wana'avarage more than Curry ya 44% ukimwacha Kerr pekee...
 
By the way, saying is much easier. Tuombee uzima ili tuone akipata hizo three or more four rings, ambazo alishindwa kuzipata toka mwaka 2009.
teh teh teh kucheza 5 season bila ring imekuwa ni kosa.. Hivi Lebron alicheza misimu mingapi bila ring??? (Naomba hilo swali liwe compulsory kwenye majibu yako utakayokuja nayo..)... Curry didn't need to run from one franchise to another to win the ring.. Ameichukulia palepale walipomdraft.. LeBitch baada ya kuikosa kwa miaka mingi pale Ohio akakimbilia Miami.. Sasa karudi tunasubiri apate tena akiwa hapo.. Na msimu huu akiikosa GSW anakutana na Spurs, hakuna msalia mtume hapo ni kibano tu teh teh teh....

Mashabiki ya Cavs bana... Ni kama Ile minyumbu ya Madrid isivyompenda Messi teh teh teh... Mkasingizia Finals hamkua healthy, juzi mkapewa kibano mkasingizia Kyrie ndio kwanza amerudi teh teh teh... You have nothing to do rather than hating on Curry... He'll be 2-2 on finals this season, LeBitch will be 2-6...
 
I remember my friend Nyani Ngabu warning of what was in store for the Warriors at the CAV's home turf.

Come on man...that finals' series wasn't a fair contest.

You know it, I know it, and the whole sports world knows it....the CAVS were shorthanded.

You may not like hearing it but it's factual, not fiction.

And that's not to take anything away from your beloved Warriors.

However, one important caveat that you seem to so conveniently ignore is that, my final's forecast was predicated on the assumption that the CAVS were going to be at their full strength [or at the least have their all-star point guard throughout the series].

But obviously things didn't pan out that way and quite honestly I do expect you to always ignore that fact.

For you to do that is par for the course and understandable😀.
 
Come on man...that finals' series wasn't a fair contest...
meatloaf-is-not-amused.jpg

You've got to be kidding me buddy!
Tonight it is 36-2 and counting...
Sorry Nyani Ngabu, it is 35-2!
 
Last edited:
meatloaf-is-not-amused.jpg

You've got to be kidding me buddy!
Tonight it is 36-2 and counting...
Sorry Nyani Ngabu, it is 35-2!

Sometimes I don't really get you.

I have already said your GSW are markedly better this season compared to last season and they are, ipso facto, the odds on favorites to win it all again.

Do you know what 'markedly' means? Do you know how to read and comprehend what you are reading?

You are coming at me like I am arguing with you or something! I am not.

Is your attention span that short?

If it is I suggest you revisit the first five pages of this thread and go over line by line everything I have said about this year's GSW.

And just in case you fail to comprehend you can tag me and I'll be more than happy to dumb it down further for you.
 
27 July 2015 hekimatele said:
Nimesema msimu huu GSW wameutwaa. That's good.
By the fact that hii game haitabirikagi nimemaanisha next season huwezi jua nani atakuwa mshindi wa season.
Au bado unadhani kuwa hawa madogo wana chance ingine ya kuutwaa msimu ujao?
Kila mtu ana nafasi kubwa ya kushinda msimu ujao.
Narudia tena hili game halitabirikagi
My dear friend hekimatele, are you still around? Je hao uliowaita madogo mwaka jana ndio hawa hawa wanaoongoza 35-2? Ingependeza kama tungejenga tabia ya kuweka akiba ya maneno, ni ushauri tu![/QUOTE]
 
Sometimes I don't really get you.

I have already said your GSW are markedly better this season compared to last season and they are, ipso facto, the odds on favorites to win it all again.

And just in case you fail to comprehend you can tag me and I'll be more than happy to dumb it down further for you.
Dont worry dude, I get you...please allow me to quote you from last year;
14 May 2015 Nyani Ngabu said:
I believe they will be back in the mix again next season and hopefully everyone will stay healthy because I really want to see a rematch of these finals. I really really do.
rematch.jpg

Now we have only to wait and see.​
 
Last edited:
Wins for Spurs(33-6) and Warriors(36-2)
 
Wins for Spurs(33-6) and Warriors(36-2)
Miami Heat kachapwa tayari na leo GSW wanaelekea Colorado. Wastani wa point za GSW ni 114, Spurs ni 103 na Cavs ni 101. Ni katika michezo miwili tu kati ya 38 ambapo GSW hawakuvuka point 100 wakati kwa Spurs na Cavs ni katika michezo zaidi ya kumi na miwili kila moja hawakuweza kufikia pointi 100...ni hatari sana hawa vijana wa Golden State!
 
Back
Top Bottom