''Think about everything that had to happen for the Warriors to sign Kevin Durant: the timing of the new TV deal, no smoothing, Stephen Curry's bargain contract. We may never see something like this again in our lifetimes.''K.PJe KD atakubali kwenda East (Celtics) akapambane na Lebron au atabaki West achague kupambana na Warriors ama kujiunga nao... Hili swali litajibiwa usiku huu au kesho mchana..
sifa nyingi sana alimwagiwa KD na Anti-GSW humu....sasa ngoja tuwaone ...''will they eat their words?''...or..''will they be in a state of denial?''View attachment 362959
Hahahahaha aiseee this squad.... Nzi Raimundo Steph Curry Tyta hahahah haters gonna hate. Sasa hivi tunaanza kushoot nyuma ya goli au wataextend margin ya court
Je, Durant naye atapondwa kama alivyopondwa LeBron kwa kudandia gravy train la GSt.?
Durant hatapondwa sana kivile, na ukiangalia kwenye mitandao watu wanahamishia lawama zao kwa LeBron kwamba ndiye chanzo cha mastaa kuhama kwenda kuungana na mastaa wenzao kutafuta urahisi wa kuwa mabingwa.
Chris Boussard nimeamini is the closest link to Durant. Alisema tu baada ya playoffs kuwa he can bet Durant will be joining GSW. Nzi akanipa maneno makali humu duuuh hahahahaha. Raimundo how is that squad man Tyta I'm happy kinoma. We couldn't stop this man kuliko hata LeBron. If you can't beat them join emSomebody tune into SportsCenter....Chris Broussard and Stephen A are in a heated argument.
Nasema hapa guys.... The warriors are going for a 75-7 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. I'm happy sana. Haya LeBron atengeneze huko timu na kina Wade
Chris Boussard nimeamini is the closest link to Durant. Alisema tu baada ya playoffs kuwa he can bet Durant will be joining GSW. Nzi akanipa maneno makali humu duuuh hahahahaha. Raimundo how is that squad man Tyta I'm happy kinoma. We couldn't stop this man kuliko hata LeBron. If you can't beat them join em
Kuna uwezekano wa Wade kumfuata Lebron ?Nothing is guaranteed man, unaweza kuona jinsi kina LBJ walivyo-flop kwa Dallas that time 2011, baadae walivyopigwa na SAS 2014.
Bado nina kila sababu za kuamini kwamba Cavs tutarudia ubingwa, we will recruit to suit the match-up.
View attachment 362959
Hahahahaha aiseee this squad.... Nzi Raimundo Steph Curry Tyta hahahah haters gonna hate. Sasa hivi tunaanza kushoot nyuma ya goli au wataextend margin ya court
Kuna uwezekano wa Wade kumfuata Lebron ?
sifa nyingi sana alimwagiwa KD na Anti-GSW humu....sasa ngoja tuwaone ...''will they eat their words?''...or..''will they be in a state of denial?''
Nothing is guaranteed man, unaweza kuona jinsi kina LBJ walivyo-flop kwa Dallas that time 2011, baadae walivyopigwa na SAS 2014.
Bado nina kila sababu za kuamini kwamba Cavs tutarudia ubingwa, we will recruit to suit the match-up.
Nani kikweli kweli alidhani CAVS wangeishinda timu ya 73-9 kwa kuibamiza mechi tatu mfululizo na hatimaye ku avenge loss yao mwaka jana tena huku wakiwa nyuma 3-1?