NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Tunamalizia harakati za kumsajili Dwayne wade kuja Cavaliers[emoji459].
All in one
 
Naona zitakuwa ni repeating series za Gsw na CAvs maana wanajiimarisha zaidi na macho yote yapo kwao[emoji2]
 
Mkuu tupo aisee, tunazunguka majukwaa mengine huko!

Wazee wa Super Team mna hamu ya kuanza ligi naona.

hahahahhaha hapana bana.. siku hizi sijui nitampata vipi rafiki yangu skip bayless zaidi ya twitter maana huko fox alikohamia michosho tu. Huku SAS yupo na hiki kijamaa kinajaribu kuwa Skip lakini hakitoweza. Yaani First Take inapwaya kweli
 
SAS anam-dominate jamaa!

Tutazoea tu lakini.
 
Msiwe na wasi wasi, msimu mpya ukianza tutajaa tele tele, tumechukua tu likizo ndogo tukisubiri mambo yanoge...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…