mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 361
Tunamalizia harakati za kumsajili Dwayne wade kuja Cavaliers[emoji459].
All in one
All in one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dwyane Wade has informed the Chicago Bulls that he plans to sign with them, Kachange gia angani [emoji3]Tunamalizia harakati za kumsajili Dwayne wade kuja Cavaliers[emoji459].
All in one
Dwyane Wade has informed the Chicago Bulls that he plans to sign with them, Kachange gia angani [emoji3]
Mara Nyingi Shortly before preseason..Steph Curry Raimundo Tyta Nzi nimewamis wakuu.Hiyo Thread mpya mliyosema inafunguliwa kwa msimu mpya inaanza lini.
Steph Curry Raimundo Tyta Nzi nimewamis wakuu.Hiyo Thread mpya mliyosema inafunguliwa kwa msimu mpya inaanza lini.
upo mkuuu aisee kitamboHabarini wakuu
Mkuu tupo aisee, tunazunguka majukwaa mengine huko!
Wazee wa Super Team mna hamu ya kuanza ligi naona.
hahahahhaha hapana bana.. siku hizi sijui nitampata vipi rafiki yangu skip bayless zaidi ya twitter maana huko fox alikohamia michosho tu. Huku SAS yupo na hiki kijamaa kinajaribu kuwa Skip lakini hakitoweza. Yaani First Take inapwaya kweli
Soon bro... Missing everyone here..Steph Curry Raimundo Tyta Nzi nimewamis wakuu.Hiyo Thread mpya mliyosema inafunguliwa kwa msimu mpya inaanza lini.
Mpwa wamekutia kitanzini au hiyo BANNED ni Avatar tu??Mkuu tupo aisee, tunazunguka majukwaa mengine huko!
Wazee wa Super Team mna hamu ya kuanza ligi naona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu tupo aisee, tunazunguka majukwaa mengine huko!
Wazee wa Super Team mna hamu ya kuanza ligi naona.