NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Sema flagrant 2 ya JR Smith ilikuwa wrong call...inafanya ionyeshe namna gani game inakuwa soft...
 
Nilimaanisha kukata tamaa leo...

Ila hii mechi ni anomaly.

Binafsi sitaichukulia kuwa ndo kipimo cha ubora wa CAVS.

Ni mara ngapi unawaona CAVS wakicheza vibaya namna hii hususan nyumbani ambako wako 15-1?

Wameadhirishwa? Ndiyo! Hilo halina ubishi kabisa.

Ila, je, hivi ndivyo walivyo mara zote/ nyingi? Hapana, ingawa leo wanacheza kama Sixers😀.

Usije kushangaa hii mechi ndo ikaja ku-light the fire in their belly [sasa hapa sisemi kwamba hicho ndicho kitakachotokea....manake humu watu saa zingine huwa hawasomi na kuelewa kinachoandikwa].

Nadhani wanahitaji kufanya some serious soul-searching baada ya hapa.
 
I am glad you are seeing for the first time what we have seen since last year. 112- 69 and counting...! I remember Steph Cuury asking you to watch their game, well today you had your chance!
Mkuu, baada ya yale mabishano nilijua tu mkuu Nzi haangaliagi game za Warriors.. Sasa nadhani he can consider Warriors are the real contenders..

CC: Tyta
 
Home fans leaving already

Ni kheri waende tu maana umeiona hiyo theluji iliyopo Cleveland?

Siyo worth it kabisa kuendelea kukaa hapo wakati driving conditions ni mbaya.

Kwanza nashangaa hata kwa nini TNT bado wanaionyesha mechi.
 
After pulverizing the CAVs 132-98, the Warrior's record is now 37-5...Oops, it is 38-4!
 
teh teh teh teh nimeikuta mahali hii...

Somebody in clevland gotta shoot steph curry in his shoulder before he get on the bus if they want any chance of winning a chip this season
 
Labda hii mechi ya Rockets na Clippers itakuwa nzuri....lakini nikikumbuka jinsi series yao ilivokuwa sijui hata nitarajie nini....

Ngoja tuone...
 
Mkuu, baada ya yale mabishano nilijua tu mkuu Nzi haangaliagi game za Warriors.. Sasa nadhani he can consider Warriors are the real contenders..

CC: Tyta
Hivi ni wapi nimesema GSW siyo title contenders?!? Shida yangu ni overhyping juu ya Curry kusemwa the best ever. Hapo ndipo sikubali. Otherwise, yeye na timu yake wana-run the show.

Ninachofurahi ni kuwa Cavs wana nafasi kubwa ya kufika finals kuliko GSW. East conference has relatively weaker teams. In the West, GSW has to play against Spurs, OKC and even Clippers.
 
Your CAVS are 0-3 against the top two teams in the West.

No need to panic but I think it portends doom if they don't figure out what the missing link is.

Only Warriors can dethrone a King and tonight they made sure of that​
 
Ninachofurahi ni kuwa Cavs wana nafasi kubwa ya kufika finals kuliko GSW. East conference has relatively weaker teams. In the West, GSW has to play against Spurs, OKC and even Clippers.

Mimi sidhani kama washabiki wa CAVS [au niseme LeBron...kwa sababu wengi wao walimfuata pia alipoenda Miami] wanastahili kuanza ku panic.

Big 3 ya CAVS leo combined wamefunga points 27.

CAVS siyo wabaya kihivyo kudhani mechi nyingi watakuwa na output ya namna hiyo.

Na ndo maana nikasema kwamba hii mechi ya leo ni anomaly tu.

Yaani LeBron, Kevin Love, na Kyrie Irving mtu utegemee watakuwa na siku mbaya namna hii kwenye kila mechi au nyingi ya mechi?

I don't think so.

This was just an off night and it happened to be against the GSW.
 
Finals mtakutana na GSW au Spurs... Hao OKC na Clippers hakuna kitu..

Sisi tunapiga tu muwe off night au on night teh teh teh
 
Only Warriors can dethrone a King and tonight they made sure of that​

Only the Warriors can dethrone a king?

You can't be serious.

Do you know how many times my Spurs have demolished him?

When did you earnestly start following basketball? Last year?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…