Kuna kipindi kwenye game Lebron alicheza kama PG!! That's what an all rounder is all about...
Ha ha ha! Nimesema tu chifu...ligi hakuna tena..Ha ha ha, mkuu unataka kurudisha ligi ya All Rounder. SG na PG!
Tokea finals za 2012, naona kina KD wamekuwa underdogs kwa LBJ
Well done Cavs ! I hope this means that there will be no excuses this time. At 40-14 there's no denying that their performance is good but is that enough? That's the one thousand dollar question!Cavs 115 Thunder 92....game over
40-14 to Cavs...
Kama LBJ alivyokuwa underdog kwa kina Curry mara tano mfululizo. Shhsh...keep your voice down lest Nzi hears that please ...!!!Ha ha ha, mkuu unataka kurudisha ligi ya All Rounder. SG na PG!
Tokea finals za 2012, naona kina KD wamekuwa underdogs kwa LBJ
Ball hog Russel with almost a triple double... Yaani hicho ndio kina'matter zaidi kwa OKC kuliko ushindi. Wao Westbrook akipata Triple Double ndio furaha yao.. Hii timu haitafika kokote nilikuwa nawashangaa watu hapa waliokuwa wanawaweka kwenye title contenders..
Duuuh umeenda mbali sana, na wala sikumaanisha hicho ulichokiona wewe...Ha ha ha, mkuu kwa hiyo OKC wamefungwa kwa sababu ya Ball Hogging ya RW na siyo kwa uchezaji mzuri wa CAVs?
Duuuh umeenda mbali sana, na wala sikumaanisha hicho ulichokiona wewe...
Ebu jaribu kusoma nilichoandika, sio kila tunachoongea tunaweka ushabiki usio na maana.. Mimi nachoongelea ni kwamba OKC fans are happy with Russel getting triple double kuliko wao kupoteza mchezo, lakini naona wewe umekuja na mengine kabisa...
Sawa subiri Jumamosi uone tutakavyowapiga kipigo kikuu pale pale kwao... Tutawapa kama kila cha Memphis cha 50 Points...Ha ha ha, nimekuelewa sana mkuu. Kukisha kuwa na kijiwe cha ushabiki huwezi kukwepa tafsiri za namna hii, pale tunapoeleweshana tunaelewa.
Sawa subiri Jumamosi uone tutakavyowapiga kipigo kikuu pale pale kwao... Tutawapa kama kila cha Memphis cha 50 Points...
Sasa wakipania ndio watakula za uso mpaka wakimbie uwanjani... Mnakumbuka akina Lebron walivyopania wakala 34 teh teh teh teh... Unakumbuka Clippers walivyopania, wakaanza kwa kishindo cha kuongoza by 20 points on first half lakini wakaishia kupigwa wao... Warriors usiwapanie watakuaibisha...Hiyo game nanunua popcorn kabisa kuona jinsi watakavyowatandika, maana najua hawatakubali kufungwa na kila mmoja aisee.
Sasa wakipania ndio watakula za uso mpaka wakimbie uwanjani... Mnakumbuka akina Lebron walivyopania wakala 34 teh teh teh teh... Unakumbuka Clippers walivyopania, wakaanza kwa kishindo cha kuongoza by 20 points on first half lakini wakaishia kupigwa wao... Warriors usiwapanie watakuaibisha...
Jana kama Kyrie angeendelea kucheza mngepigwa au difference ya ushindi ingekuwa ndogo sana... Yule Delly yule ni unsung hero... Hata Finals aliwasaidia sana, Delly's defense is so underrated...Toka Clippers watolewe na Houston kwenye playoffs za mwaka jana wakiwa wanaongoza 3-1 siwataki hata kuwasikia.
Cavs tunaendelea kujifua vilivyo, hope umeona jinsi ilivyobadilika atleast kidogo baada ya kubadili kocha, mpaka April timu itakuwa supa.
Jana kama Kyrie angeendelea kucheza mngepigwa au difference ya ushindi ingekuwa ndogo sana... Yule Delly yule ni unsung hero... Hata Finals aliwasaidia sana, Delly's defense is so underrated...
Si unakumbuka hata first leg this season na Warriors, Kyrie hakucheza sana sababu alitoka majeruhi na Delly ndiye alicheza and the game was so close... Ila rematch Kyrie akawafanya mpokee kipigo heavy teh teh teh.. Trade Kyrie and give more minutes to Delly...
Teh teh teh teh alafu nje akae nani sasa?? Au mnataka muzi'ignore three pointer za JR Smith?? Offensively mbona Delly pia yuko vizuri tu...Ha ha ha, eti trade Kyrie.
Kiukweli D ya Delly pamoja na TT naikubali sana kuliko akiwepo Kyrie, offensively Delly siyo productive kivile na huwezi kutrade offensive advantage ya Kyrie kwa D ya Delly.
Kocha anaendelea kustudy jinsi ya kuwachezesha wote huku wanascore huku wanadefend.
Karibu Mkuu...Habari!!inawezekana ukapenda basketball halafu usiwe unajikumbushia hata ki veterani?