NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Kuna kipindi kwenye game Lebron alicheza kama PG!! That's what an all rounder is all about...

Ha ha ha, mkuu unataka kurudisha ligi ya All Rounder. SG na PG!

Tokea finals za 2012, naona kina KD wamekuwa underdogs kwa LBJ
 
Ha ha ha! Nimesema tu chifu...ligi hakuna tena..
Cavs 103 Thunder 83, 6.43 4th quarter
 
Cavs 115 Thunder 92....game over

40-14 to Cavs...
Well done Cavs ! I hope this means that there will be no excuses this time. At 40-14 there's no denying that their performance is good but is that enough? That's the one thousand dollar question!
 
Ha ha ha, mkuu unataka kurudisha ligi ya All Rounder. SG na PG!

Tokea finals za 2012, naona kina KD wamekuwa underdogs kwa LBJ
Kama LBJ alivyokuwa underdog kwa kina Curry mara tano mfululizo. Shhsh...keep your voice down lest Nzi hears that please ...!!!
 
Nimepata hii pahala...

I have no idea what the hell that was in the last 2 minutes, but mercifully the brutal and lengthy losing streak has come to an end. i mean, they hadnt won a game in a whole week and a half ...

Ha ha haaa...that darned losing streak lasting a whole week finally coming to an end, wow!
 
Kama LBJ alivyokuwa underdog kwa kina Curry mara tano mfululizo. Shhsh...keep your voice down lest Nzi hears that please ...!!!

Ha ha ha, LBJ atajibu tu kwenye Finals kama mtabahatika kufika.

With KI and KL health, mtakaa tu.
 
Ball hog Russel with almost a triple double... Yaani hicho ndio kina'matter zaidi kwa OKC kuliko ushindi. Wao Westbrook akipata Triple Double ndio furaha yao.. Hii timu haitafika kokote nilikuwa nawashangaa watu hapa waliokuwa wanawaweka kwenye title contenders..
 
Ha ha ha, mkuu kwa hiyo OKC wamefungwa kwa sababu ya Ball Hogging ya RW na siyo kwa uchezaji mzuri wa CAVs?
 
Duuuh umeenda mbali sana, na wala sikumaanisha hicho ulichokiona wewe...

Ebu jaribu kusoma nilichoandika, sio kila tunachoongea tunaweka ushabiki usio na maana.. Mimi nachoongelea ni kwamba OKC fans are happy with Russel getting triple double kuliko wao kupoteza mchezo, lakini naona wewe umekuja na mengine kabisa...
 
Ha ha ha, nimekuelewa sana mkuu. Kukisha kuwa na kijiwe cha ushabiki huwezi kukwepa tafsiri za namna hii, pale tunapoeleweshana tunaelewa.
 
Sawa subiri Jumamosi uone tutakavyowapiga kipigo kikuu pale pale kwao... Tutawapa kama kila cha Memphis cha 50 Points...
 
Hiyo game nanunua popcorn kabisa kuona jinsi watakavyowatandika, maana najua hawatakubali kufungwa na kila mmoja aisee.
 
Sasa wakipania ndio watakula za uso mpaka wakimbie uwanjani... Mnakumbuka akina Lebron walivyopania wakala 34 teh teh teh teh... Unakumbuka Clippers walivyopania, wakaanza kwa kishindo cha kuongoza by 20 points on first half lakini wakaishia kupigwa wao... Warriors usiwapanie watakuaibisha...
 
Toka Clippers watolewe na Houston kwenye playoffs za mwaka jana wakiwa wanaongoza 3-1 siwataki hata kuwasikia.

Cavs tunaendelea kujifua vilivyo, hope umeona jinsi ilivyobadilika atleast kidogo baada ya kubadili kocha, mpaka April timu itakuwa supa.
 
Jana kama Kyrie angeendelea kucheza mngepigwa au difference ya ushindi ingekuwa ndogo sana... Yule Delly yule ni unsung hero... Hata Finals aliwasaidia sana, Delly's defense is so underrated...

Si unakumbuka hata first leg this season na Warriors, Kyrie hakucheza sana sababu alitoka majeruhi na Delly ndiye alicheza and the game was so close... Ila rematch Kyrie akawafanya mpokee kipigo heavy teh teh teh.. Trade Kyrie and give more minutes to Delly...
 
Ha ha ha, eti trade Kyrie.

Kiukweli D ya Delly pamoja na TT naikubali sana kuliko akiwepo Kyrie, offensively Delly siyo productive kivile na huwezi kutrade offensive advantage ya Kyrie kwa D ya Delly.

Kocha anaendelea kustudy jinsi ya kuwachezesha wote huku wanascore huku wanadefend.
 
Habari!!inawezekana ukapenda basketball halafu usiwe unajikumbushia hata ki veterani?
 
Ha ha ha, eti trade Kyrie.

Kiukweli D ya Delly pamoja na TT naikubali sana kuliko akiwepo Kyrie, offensively Delly siyo productive kivile na huwezi kutrade offensive advantage ya Kyrie kwa D ya Delly.

Kocha anaendelea kustudy jinsi ya kuwachezesha wote huku wanascore huku wanadefend.
Teh teh teh teh alafu nje akae nani sasa?? Au mnataka muzi'ignore three pointer za JR Smith?? Offensively mbona Delly pia yuko vizuri tu...
 
Back
Top Bottom