Iko kama ilivyo,black and white,no hidden message! Kwa kusoma michango ya watu humu MIMI BINAFSI NIMEGUNDUA WENGI WAMEANZA KUFUATILIA BBALL 2005, NA NIKAMALIZIA NAWEZA KUWA SIKO SAHIHI.
MIMI BINAFSI NIMEGUNDUA WENGI WAMEANZA KUFUATILIA BBALL 2005, NA NIKAMALIZIA NAWEZA KUWA SIKO SAHIHI.
Lebron namkubali sana lakini lile saga la kumfire David Blat limenifanya nimuone sio Professional.. Sidhani kama GSW locker room kuna mwenye sauti kumzidi Kerr na sidhani pia kama Duncan or any lad at Spurs ana sauti kumzidi Pop... Ndio maana after a bad loss at Oracle Pop akasema ana bahati President wake hakuwa pale uwanjani maana angemfire siku ile ile... Hiki kilikuwa kijembe kwa Lebron maana yeye ndiye kama President pale Quicken Loan Arena anachoamua kinafanyika.. Sikumbuki Kobe aki'act hivo in whole of his career..Ha ha ha, we jamaa unamchukia sana LBJ aisee. Yaani hata KD, haya bana.
Hope unazungumzia ubora kwenye shooting na sio game kwa ujumla wake.
Just for your info, 1989 ulipoanza kuangalia mchezo wa basketball, wengine tulishang'atuka zamani kuucheza...! Hata hivyo nakiri sijui point yako ni nini hasa lakini naomba nikuulize...je, katika ulimwengu huu wa teknolojia, walioanza kuangalia Basketball 2005 hawana namna ya kufuatilia rekodi pamoja na historia ya mchezo huo? Mbona mtu anahitaji tu kuingia hata wikipedia akapata data na stats zote za NBA.Iko kama ilivyo,black and white,no hidden message! Kwa kusoma michango ya watu humu MIMI BINAFSI NIMEGUNDUA WENGI WAMEANZA KUFUATILIA BBALL 2005, NA NIKAMALIZIA NAWEZA KUWA SIKO SAHIHI.
Lebron namkubali sana lakini lile saga la kumfire David Blat limenifanya nimuone sio Professional.. Sidhani kama GSW locker room kuna mwenye sauti kumzidi Kerr na sidhani pia kama Duncan or any lad at Spurs ana sauti kumzidi Pop... Ndio maana after a bad loss at Oracle Pop akasema ana bahati President wake hakuwa pale uwanjani maana angemfire siku ile ile... Hiki kilikuwa kijembe kwa Lebron maana yeye ndiye kama President pale Quicken Loan Arena anachoamua kinafanyika.. Sikumbuki Kobe aki'act hivo in whole of his career..
Sawa sawa ila chukua na hii tweet kutoka kwa Kyle Lowry after Steph 51 Points with only one FT attempted..Okay nimekupata kaka, its just a game though.
Ukiisoma barua aliyoiandika Dan Gilbert kipindi kile 2010 wakati LBJ anaenda Heat, utashangaa hawa jamaa wanaweza vipi kurudi kufanya kazi pamoja.
Lakini waliweza kusameheana waka-move on, so its a game and business too.
Sawa sawa ila chukua na hii tweet kutoka kwa Kyle Lowry after Steph 51 Points with only one FT attempted..
Kyle Lowry @Klow7 6h6 hours ago
Smh... He's broke the cheat code , he's got his own code lol
And he will surely do so.. And those half court buzzer shots are routine now..Curry is amazing this season, he is doing wonders, real wonders. So far he is going to be an MVP at unanimous decision.
If he keeps doing this for next 3 to 4 seasons, he will be considered one of the great to ever play this game.
MOTHER SUCKER.... teh teh teh teh tehWarriors coach Steve Kerr expressed his current state of disbelief, saying, “A 3-point shot is like a layup. A half-court shot is like a 3-point shot. Steph just, that’s what he does.”
Hahahahahahahaha so to Curry he's attempting half court shots in an accuracy percentage like how other players attempt a three point shot while his 3s are like other players layups... What do we call this expression, an hyperbole or? When a coach his happy with whatever you decide that's even wonderful.
Curry has the best season perfomance which no other player has ever had and he's on the verge of breaking Wilt Chamberlain's PER....
Reggie Miller said he now has to average 10pts per game to win an MVP... Mike Jackson claimed he's affecting the game as he went to colleges and every young lad is trying to shoot 3s like crazy... I can't really imagine how the Minnesota Timberwolves are feeling having choosen two guards ahead of him in that draft.
No hate, Curry has revolutionized the game in his own,, the once referred to as slim and soft is killing the games in 3 quarters now? What surprises me even more is he don't dunk often or with ferocity but he has up his game in cutting the D and getting to the rim to make layups... He's doing it with accuracy and better than even Westbrook whom i once believed no guard gets to the rim like him ( critiques are allowed).
I'm now enjoying Curry's game.... Scoring 51 pts with only one free throw tells you the way his game is maturing. He's hurting teams from different points, it's now hard to guard him than any other player in NBA.
teheteh....and to put things into perspective........
No hate, Curry has revolutionized the game in his own,, the once referred to as slim and soft is killing the games in 3 quarters now? What surprises me even more is he don't dunk often
.
the only thing that is a shocker now is Dunks..........nothing else.....And he will surely do so.. And those half court buzzer shots are routine now..
Atleast you are not intimidated by his greatness while its happening,and flip to appreciating it once it's gone.Curry is amazing this season, he is doing wonders, real wonders. So far he is going to be an MVP at unanimous decision.
If he keeps doing this for next 3 to 4 seasons, he will be considered one of the great to ever play this game.
Atleast you are not intimidated by his greatness while its happening,and flip to appreciating it once it's gone.
Kyle Lowry exposed Cavs all lead from the first quarter to a shocking comeback... Hit the 2 point buzzer with 3.8 seconds remained on the clock... And Le King James answered with airball three pointer, 99-97 and Raptors won the series.. 2-1 just as Bulls also won their series with 2-1... And DeRozan was sick on this game..
Raimundo msijipange kupambana na Warriors au Spurs wakati huko kwenu Raptors na Bulls wanawapa shida, itakuwa series ngumu sana kwenu mkikutana nao finals hawa watu... Daaah ila huyu Lowry mbaya sana, kamfanya mbaya sana Kyrie mpaka akawekwa nje teh teh teh Delly nae katolewa ulimi nje teh teh teh
CC: Tyta Mag3 King Shaat Watu8