Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #1,201
Kabisa. Thunder siyo wa kuwaamini hata kidogo...In the end OKC will loose. For some reason I never trust OKC
Kabisa. Thunder siyo wa kuwaamini hata kidogo...
I give it to you buddy...no mention of the Warriors...like they shouldn't be where they are. I doubt if trusting Thunder could make any difference!Kabisa. Thunder siyo wa kuwaamini hata kidogo...
Rajon RondoMkuu kuna mahali nimesema mimi ni expert au nime undermine mchango wa mtu yeyote?? Kama mshabiki na mchezaji wa basketball nikisoma comments za watu humu ndio nimegundua wengi ni walioanza around 2005 baasi. Dont get it twisted.
Mkuu hauko peke yako unaefikiri RRONDO ni Rajon Rondo......R ya kwanza ni first name yangu ya kweli, na Rondo ni kijiji ninapotokea huko mikoa ya kusini.Rajon Rondo
Asante kwa ufafanuziMkuu hauko peke yako unaefikiri RRONDO ni Rajon Rondo......R ya kwanza ni first name yangu ya kweli, na Rondo ni kijiji ninapotokea huko mikoa ya kusini.
LBJ is now 14th in the NBA all-time scoring list.
LBJ has been on the spotlight since when he was a high school balller. It is time for other ballers to be on the spotlight. It is good for the game.Ha ha ha, Curry has taken over kiasi kwamba hata ESPN hawajaipa covarage ya kutosha hii habari. Nakumbuka kuna kipindi LBJ yuko Miami hata akikohoa ilikuwa lazima iandikwe.
Ni ajabu kafanywa hivyo ni timu isiyo na mbele wala nyuma...GSW leo wamekomeshwa na ndugu zao wa Kusini. Ni mchezo wa tatu hawafikishi pointi 100, duh!!!
GSW leo wamekomeshwa na ndugu zao wa Kusini. Ni mchezo wa tatu hawafikishi pointi 100, duh!!!