Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
could be a new melo!!maana championship sio mchezo NBA,lakinj kwanini unasema mechi Vs Spurs ita determine kusepa au kubaki?Mechi ya leo kati ya Spurs vs OKC itatoa majibu kama KD atataka kubaki OKC au atataka kuondoka kama Free Agent.. KD hawezi kushinda chochote akiwa OKC, achague kwenda Oakland au aende kule East akapambane na Lebron... Kibaya zaidi KD kwa Lebron afurukuti na akibaki East kama ataenda timu tofauti na Warriors na Spurs bado hatokuwa na matumaini na Championship...
Swali: Will KD be a new Mello?????????
It seems like he can't beat elites team with OKC... They lose to both Warriors, Cavs and Spurs... These are teams you need to beat to get the Championship or even Finals appearance... As a free agent nadhani ataona bora aondoke atafute timu itakayompa ring.. Na ile ishu ya Mello alivyoongea juzi kuhusu wenzake akina Lebron, Wade, Bosh kushinda ring wakati yeye hajashinda chochote nadhani ilimuingia akilini KD...could be a new melo!!maana championship sio mchezo NBA,lakinj kwanini unasema mechi Vs Spurs ita determine kusepa au kubaki?
sure thingIt seems like he can't beat elites team with OKC... They lose to both Warriors, Cavs and Spurs... These are teams you need to beat to get the Championship or even Finals appearance... As a free agent nadhani ataona bora aondoke atafute timu itakayompa ring.. Na ile ishu ya Mello alivyoongea juzi kuhusu wenzake akina Lebron, Wade, Bosh kushinda ring wakati yeye hajashinda chochote nadhani ilimuingia akilini KD...
Inaelekea watashindwa...A. Davis yupo inconsitent sana...ingawa leo anafanya vizuri...baada ya ile game aliyofunga 50+ points, iliyofuata alifunga 9 points!!Leo itabidi NOP atibue hiyo home record angalau ili jamaa wasije kuweka record zitakazosumbua kuvunja hapo mbeleni.
Halafu hii staili ya Cavs kushika kasi kwenye quarter mbili za mwisho, imewa-cost sana kwenye games walizoshindwa...
Ndicho kilichotokea leo...Nahisi Cavs pumzi ni issue sana, kipindi cha nyuma walikuwa wanascore sana first half na half ya pili wanakuwa wameshachoka, sasa naona wamekuja na style ya kureserve nguvu first half, mwisho wa siku wanajikuta wameshindwa ku-cover gape.
Stephen Curry has been a monster this season. He is averaging 30.5 points in 33.9 minutes per game. He already has set the record for most made 3-point field goals in a season, and the Warriors still have 17 games left to play. How do you stop this guy, or even slow him down?Harlem Globetrotters reveal perfect defense to stop Stephen Curry
Harlem Globetrotters reveal perfect defense to stop Stephen Curry
Naona bado mpo wengi mlioshindwa kufuatilia michezo ya GSW...you don't count them out until the last whistle. They have done this over and over again but people still have doubts. Do you know the story of the beautiful young antelope? Well, she danced herself lame before the main dance...now go figure that out my friend🙂🙂🙂!!!Leo itabidi NOP atibue hiyo home record angalau ili jamaa wasije kuweka record zitakazosumbua kuvunja hapo mbeleni.