And there goes the crying baby... Naona sasa zile kelele zake za kuleta huyu na huyu hazizingatiwi ameamua sasa ku'unfollow twitter page ya Cavs na kutaka acheze timu moja na his good friends.. Sasa hapo wanauliza ni timu gani wataweza kwenda ukizingatia na sheria ya bajeti ya mishahara.. Kwa haraka haraka nadhani inaweza kuwa Miami.. Mello nae alivyoulizwa baada ya game yao na Nuggets kama sikosei alisema yuko tayari, the guy wants a ring really bad na pale Garden haoni kama anaweza kutoka na ring... Now its time to gang up and try to beat Curry and Spurs hahahahaha... Ila hawa wazee sidhani kama wataweza, they first need a decent bench alafu naomba na KD aende Warriors ili azime kabisa ndoto yao maana combo ya Curry, KD, Green, Klay na Ezeli ni hatari... Alafu nje anasubiri Livingstone, Iggy, Barbosa, BRush, Kevin Looney..
KD nae afanye maamuzi sahihi kabla nae hajataka mambo ya pay cut ili tu ashinde ring..