NBA Season 2015 - 2016: Special thread

In the fictional MVP of the First Two Weeks race,
there is Steph Curry, and then there's everybody else...



 
Umeiona hii...
NBA top +/- totals since 93-94



Je umemuona Russell Westbrook kwenye hiyo list?
Draymond now the first player ever to top +1000.
Klay joins him and Steph in the top 10
Kama kawaida vijana wa GSW ndio wamekamata usukani.​
Kumbe! Sasa inakuaje Chicken Curry anagombania u-MVP ingawa hata siyo MVP kwenye timu yake?
 
Kumbe! Sasa inakuaje Chicken Curry anagombania u-MVP ingawa hata siyo MVP kwenye timu yake?
Kwani u-MVP unagombaniwa? Unagombaniwa kivipi...hebu nielimishe kidogo mwenzangu!
 
In the fictional MVP of the First Two Weeks race,
there is Steph Curry, and then there's everybody else...



Umeona lakini Kahwi is the most accurate and efficient?
 
Kwani u-MVP unagombaniwa? Unagombaniwa kivipi...hebu nielimishe kidogo mwenzangu!
Usipende kuchukulia kila neno literary mzee...nilimaanisha inakuwaje Curry yupo kwenye nafasi ya kuwania u-MVP!?! Kugombaniwa kulimaanisha 'competing' ama racing' n.k. kwamba I wonder why Curry is competing/racing for MVP while he isn't even an MVP in his own team? I wonder why is he the candidate and not Green?

Kama nilivyosema unapenda kusoma vitu literary na not between the lines. Kama ungesoma post yangu vizuri, ungeelewa nilichotaka kukisema. Curry bandwagon ndiyo sababu. Na hii siyo kwa washabiki tu, hata waandishi na watangazaji wa habari za NBA. Wote wamo kwenye Curry bandwagon. Huwezi kuwa MVP kama wewe siyo most valuable kwenye timu yako! Unless hizo takwimu ulizoziweka ni za uongo. Kuwa MVP ni zaidi ya ku-shoot 3 pts...
 
Umeona lakini Kahwi is the most accurate and efficient?
Ha ha haaa...unanifurahisha! Hebu tafakari hizi scenario tatu;
  1. One player aims for the basket only 3 times in a game, gets all and scores 6 pts. (100% accuracy)
  2. The other one aims for the basket 30 times, gets 15 and scores only 30 pts. (50%)
  3. The third one aims for 3-pointers 30 times, gets 12 but ends up with 36 pts (40%)
Kazi kwako.
 
Hii Quarter 4 kama siielewi huku mwishoni, Minnesota wanasumbua!
 
Dah, Minnesota wananyanganywa points hata sijaielewa hii faulo.
 
0.20 OT: Minnesota 122 - GSW 117.

Foul called against GSW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…