Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe! Sasa inakuaje Chicken Curry anagombania u-MVP ingawa hata siyo MVP kwenye timu yake?Umeiona hii...
NBA top +/- totals since 93-94
![]()
Je umemuona Russell Westbrook kwenye hiyo list?
Draymond now the first player ever to top +1000.
Klay joins him and Steph in the top 10
Kama kawaida vijana wa GSW ndio wamekamata usukani.
Kwani u-MVP unagombaniwa? Unagombaniwa kivipi...hebu nielimishe kidogo mwenzangu!Kumbe! Sasa inakuaje Chicken Curry anagombania u-MVP ingawa hata siyo MVP kwenye timu yake?
Umeona lakini Kahwi is the most accurate and efficient?In the fictional MVP of the First Two Weeks race,
there is Steph Curry, and then there's everybody else...
![]()
Usipende kuchukulia kila neno literary mzee...nilimaanisha inakuwaje Curry yupo kwenye nafasi ya kuwania u-MVP!?! Kugombaniwa kulimaanisha 'competing' ama racing' n.k. kwamba I wonder why Curry is competing/racing for MVP while he isn't even an MVP in his own team? I wonder why is he the candidate and not Green?Kwani u-MVP unagombaniwa? Unagombaniwa kivipi...hebu nielimishe kidogo mwenzangu!
Ha ha haaa...unanifurahisha! Hebu tafakari hizi scenario tatu;Umeona lakini Kahwi is the most accurate and efficient?
Naona mchezo wa leo umekutoa pangoni...karibu sana jamvini🙂!0.58 OT: Minnesota 118 - GSW 114