NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Imebakia Curry kutungua 3-pointer moja tu tuhesabu 400+ kwa msimu moja...Akiipata tu kutakuwa na standing ovation hapa Oracle. Nashukuru kuwa sehemu ya historia hii. Tunasubiri pia kuipotezea mbali na kuizika kabisa rekodi ya Da Bulls iliyodumu kwa miaka 20, go Warriors go!
 
400-3pt Club.....He will be alone for a long long time. ...
 
Kerr muache Curry avunje rekodi ya 3 pts nyingi zaidi kwenye game moja... That's an imporant milestone to reach
 
Grizzlies msimu huu wamekuwa na wakati mgumu kwenye players rotation...jamaa kuna wakati imebidi hadi kusign wachezaji kwa zile short contracts za 10 days...

Hivyo wanavyocheza wamejitahidi mno...

Hawa Memphis vipi! Yaani wanashindwa kukaza game muhimu kama hii.
 
Kila commercial break nachungulia kwa KOBE...he is having a helluva game. ..
..I see a "Jordan Move"...I hope I am wrong however...
 
Kila commercial break nachungulia kwa KOBE...he is having a helluva game. ..
..I see a "Jordan Move"...I hope I am wrong however...
Endelea kutuwakilisha huko, hapa ndio hivyo tena 73 inagonga hodi, ngoja tufungue mlango..
 
Draymond Green on GSW: "If we don't win a championship, we're not posting a banner that says, God willing, '73-9.'
 
Guys, Kobe farewell is just making the NBA today... More than What Warriors just did. And on top of that he's scored 60 pts. He's about to address the crowd... He's talking to SHAQ like thery were once better friends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…