Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Imebakia Curry kutungua 3-pointer moja tu tuhesabu 400+ kwa msimu moja...Akiipata tu kutakuwa na standing ovation hapa Oracle. Nashukuru kuwa sehemu ya historia hii. Tunasubiri pia kuipotezea mbali na kuizika kabisa rekodi ya Da Bulls iliyodumu kwa miaka 20, go Warriors go!