NBA Season 2015 - 2016: Special thread

MJ is my favorite player of all time kiasi kwamba huwa sometimes inaniuma baadhi ya rekodi zake zikivunjwa..Having said that..Nina appreciate all them Legends' legacy...But lets be realistic and leave the hypotheticals..Debate kama hii will last forever kwakuwa haitakuja kutokea..kila mtu atakuwa biased kwa Anayempenda kwakuwa hakuna namna ya kuwarudisha uwanjani na kuwapambanisha...
...
 
....ila kwa style ile ya miaka ile ambayo wengi tunaimiss sana ukilinganisha na hii soft style ya miaka hii ya karibuni.

..."soft" is a too disrespectful term...These dudes are working their asses off..too damn hard to call them that..
"Less Physical" ni proper term...
Lakini tutambue why that?...
This sport is a multi billion dollar industry. ..Watu wameinvest pesa nyingi mno..hence..they would like to protect their mega investments to yield good return...Je ungependa star wako unayemlipa $10M-$20M awe anakosa zaidi ya nusu msimu?..Never...Mchezo uwe more watchable lazima uwe mzuri(hence rule changes...Early 2000s..japo mabadiliko yalianza tangu 1990s)..
Kwahiyo badala ya kuchukia style ya sasa na kuumiss undava wa miaka ya 90..lets know that changes were done with very logical intention. ..With development they do research on how to improve the game and make ot more profitable..Kuna siku niliona Adam Silver ameenda Ulaya kuonana na maafisa UEFA na kujifunza baadhi ya vitu ila wakavifanyie kazi NBA..
 
Yeah! the sport was also 1 billion industry during Michael Jordan's era and players were allowed to play the game without a lot of interference from referees. Sasa waliocheza enzi zile ambazo hazikuwa za nare nare mbona wengi waliweza kucheza kila msimu mzima bila kukosa na kwa misimu mingi tu? Changes are good but to the point. Many NBA fans are not happy with recent changes "to protect players" kama kungefanyika opinion polls mashabiki wengi wangependelea kurudi katika sheria zile za miaka ya 90 na si hizi za sasa za soft NBA.

 
Haya si maneno ya BAK bali ya mcheza mmoja ambaye alikuwa mashuhuri sana na kama si Michael Jordan na Da Bulls naye si ajabu na timu yake ya Seattle wangekuwa mabingwa at least mara moja.

Gary Payton says playing in this 'soft era' of the NBA would get him fined

 
note:"multi billion $ industry"
NBA now is more way financially prosperous than it was 5yrs back,let alone during Jordan Era...Je unatambua The Great MJ hayuko hata top 100 Ya walioingiza mkwanja mrefu during their NBA Careers cumulatively?..Are you aware of the yet to be implemented TV DEAL ambayo NBA Wameingia?..BPA nao wameshaanza kujipanga na NEW CBA(collective Bargaining Agreement)..
Mchezo unakua na fanbase inazidi kuongezeka..najua wapo baadhi ya wanaopenda old school game..But people need to stop living the past and face reality..
Kitu kimojawapo kikuu ambacho kwa NBA kilishuka post JORDAN ERA ni TV Ratings..hata hivyo moja ya sababu inayoonekana kusababisha hii ni time factor..uwepo wa programs nyingi za kuangalia ukilinganisha na kipindi kile..
 
Hahah..Do you know that Gary Payton was best trash talker in NBA History..Huyu mpaka leo hajabadilika..MJ na Bird walikuwa hivyo lakini with time..(labda kwakuwa ni maexecutives)wamekuwa humble na kutokuwa wapayukaju..
 
Achana na hiyo ya kuingiza mkwanja mrefu, MJ alistahili kabisa kuingiza mkwanja mrefu kuliko yoyote yule lakini owners na management ya Da Bulls walikuwa wanamlalia sana, ila Mungu hamtupi mja wake thanks to ads aliweza kuingiza pesa nyingi sana kwa umaarufu wake na kupendwa na wapenzi wengi wa basketball duniani. Hilo nalijua Mkuu la kuwa ni multi billion industry na si ajabu miaka michache inaweza kuibgia kwenye trillion dollar industry, pamoja na kumlipa mkewe wa kwanza pesa nyingi sana kufuatia divorce yao lakini yeye ndiye amekuwa mchezaji wa kwanza duniani katika mchezo wowote ule kuwa bilionea.

Mchezo unakua hilo halina ubishi hata kidogo lakini bado argument yangu iko pale pale kwamba kwa wale tuliobahatika kuona mchezo huu enzi zile za 90s na sasa hivi wengi wetu tunapendelea kuona Basketball ya 90s ukilinganisha na hii ya leo "usiniguse" nimekuwekea na ushahidi wa kuthibitisha kauli yangu.

Ni kweli Post Jordan era wapenzi wengi waliacha kwenda kuangalia mechi uwanjani au hata kwenye TV kwa sababu kubwa kwanza MJ and Da Bulls walikuwa wakikamiwa na kila timu ya NBA popote pale wanapocheza maana kila timu ilikuwa inataka sana kuifunga Da Bulls hii ilisaidia sana kufanya mchezo uchangamke sana na kufuatiliwa msimu wote kwa karibu sana, lakini alipoondoka tu basi ushindani ukapungua sana.

Ni kweli kuna programs nyingi sana za kuangalia lakini ujue na technology nayo imekuwa sana siku hizi. Leo hii unaweza kurekodi hata programs 10 kwenye TV kwa wakati ule ule na kuziangalia baadaye, hivyo pamoja na mfano mimi nina vipindi vyangu napenda kuviangalia kamwe siwezi kuacha kuangalia game 7 ya Da Bulls ya enzi zile na NY Knicks na kurekodi vipindi vyangu vyote na kuviangalia baadaye. Tatizo kubwa ni ushindani umepungua sana na hii soft style inawakera wapenzi wengi sana.

 
Basi hata Kobe na Shaq nao ni wanafiki.


 
We can use this same logic to downplay LeBron's Greatness as he has been dominating the "so called Soft Era"..I call it absurd..
So technically. .Ewing,Miller,Barkley,Karl are somehow greater than LBJ or would have dominated more?...
Na nimegundua kitu,When it comes to Evaluating Lbjs dominance "the soft era issue" is never brought up by most pundits,fans and past legends..why?..maybe his physicality puts him above the rest..but so are a number of athletic,talented,skillful pool of big men that are still available..
However once GSW magical is witnessed,same people find a reason to ponder it..
 
Basi hata Kobe na Shaq nao ni wanafiki.

Ninatumia simu so I face some diffuculties kuappload video za hao hao wakisifu the current state of the league..very contradictory. .
Mind you..We are calling KOBE GREAT after having witnessed his greatness in the "Soft Era"(2000-2012)..Nadhani umeona the Great Big O aftermath ya comment aliyotoa baada kuponda makocha wote wa sasa NBA..
I stand by what I said earlier..calling this current NBA "soft" seems disrespectful. ...I appreciate what they bring day in day out..."less physical" is appropriate term..
.
 
You're entitiled to your opinion Mkuu, but I don't agree with you. Preference differ from one person to another. You like what you see in current NBA games and I don't. It is absurd to you but not to many fans and players who are able to make comparison of those two ERA.

 
It is disrespectful to you, but it is the TRUTH whether you like it or not.

 
Mind you.. had more NBA fans preferred the past style to the current one..NBA would have gone down hill. .which is contrary to what we see..
Those past legends were very competitive ..so it's natural for them to believe they were far better and superior than the players today...
ENVY/JEALOUSY can also play a part on their take as current players enjoy more limelight,fame,prosperous and Prestige..
At the end of the day ..kila "mwamba ngoma atavutia pake tu"...
.baada ya kusema hayo natumai unakumbuka nilipoanza kwakusema.."MJ is my favorite player of all time"...You can see where I stand.Good night bruh...
 
I wish NBA fans had that kind of power to force NBA management to change some of their decisions, but they don't.
Good night Bro thanks for this good discussion.

 
It is disrespectful to you, but it is the TRUTH whether you like it or not.
Once opinion cannot be "universally" mandated as a fact/truth..
I have not watched it..but from the caption( quote) the sentence seems more descent and a no "shocker"..
Note that:..As great as Kobe is/was.he dominated in "the soft era"..kwahiyo kwa unachotetea sielewi anasimamia wapi?..
Kindly allow me to fall in the deep world of slumber ..#slumberland..
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…