Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
MJ is my favorite player of all time kiasi kwamba huwa sometimes inaniuma baadhi ya rekodi zake zikivunjwa..Having said that..Nina appreciate all them Legends' legacy...But lets be realistic and leave the hypotheticals..Debate kama hii will last forever kwakuwa haitakuja kutokea..kila mtu atakuwa biased kwa Anayempenda kwakuwa hakuna namna ya kuwarudisha uwanjani na kuwapambanisha...Za masiku Mkuu poa kabisa, vipi wewe? kwi kwi kwi kwi kwi lol! haya Mkuu basi itakuwa 4-1 🙂🙂 pamoja na ushabiki wangu mkubwa wa Da Bulls hasa ya enzi za Michael Jordan kusema kweli GSW wasingefurukuta kabisa kwa New York Knicks (Enzi za akina Ewing), Miami Heat, Houston Rockets (The Dream Hakeem Olajuwon) na Phoenix (Charles Barkley & Kevin Johnson) ila kwa style ile ya miaka ile ambayo wengi tunaimiss sana ukilinganisha na hii soft style ya miaka hii ya karibuni.
...